jamani pamoja na kuchomewa pikipiki ya chadema na kumjerui mgombea wa chadema katika kata ya minepa lakini bado mungu hajatutenga, tumeweza kupata ushindi wa kishindo katika kata Ifakara ambapo CCM wamepata kura 3743 na chadema kupata kura 4373 hivyo ni jambo la kumshukuru M/mungu wanaifakara sasa wameanza kuamka. tunasubiri akaapishe bomani na tunampeleka kwa maandamano ya hari ya juu peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!