Mimi ni kijana wa miaka 25 sasa. nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yangu na kubaini mambo yafuatayo,. chama kilichoko madarakani ni ccm na kitaendelea kuwepo hata miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu kwanza hakuna chama imara zaidi yake, hapa miaka ya karibuni kuna chama cha chadema ambacho kimejipambanua kuwa kitairithi ccm uchaguzi ujao lakini hzo ni ndoto za andanacha. it won't happen. chadema ni chama cha kikabila na umangimeza. pia bado wananchi walio wengi hawaijui hasa vijijini. ccm itaendelea kuzoa ushindi tu