CHADEMA kuchukua urais 2015 ni ngumu sana

nothing

Member
Nov 30, 2013
6
2
Mimi ni kijana wa miaka 25 sasa. nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yangu na kubaini mambo yafuatayo,. chama kilichoko madarakani ni ccm na kitaendelea kuwepo hata miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu kwanza hakuna chama imara zaidi yake, hapa miaka ya karibuni kuna chama cha chadema ambacho kimejipambanua kuwa kitairithi ccm uchaguzi ujao lakini hzo ni ndoto za andanacha. it won't happen. chadema ni chama cha kikabila na umangimeza. pia bado wananchi walio wengi hawaijui hasa vijijini. ccm itaendelea kuzoa ushindi tu
 
Kijana miaka 25 unakuwa na akili za Kizee tena cha miaka 90,
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 sasa. nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yangu na kubaini mambo yafuatayo,. chama kilichoko madarakani ni ccm na kitaendelea kuwepo hata miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu kwanza hakuna chama imara zaidi yake, hapa miaka ya karibuni kuna chama cha chadema ambacho kimejipambanua kuwa kitairithi ccm uchaguzi ujao lakini hzo ni ndoto za andanacha. it won't happen. chadema ni chama cha kikabila na umangimeza. pia bado wananchi walio wengi hawaijui hasa vijijini. ccm itaendelea kuzoa ushindi tu
kijana unaelimu gani? hata id yako inareflect uwezo wako wa kichwani.
 
mimi ni kijana wa miaka 25 sasa. Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yangu na kubaini mambo yafuatayo,. Chama kilichoko madarakani ni ccm na kitaendelea kuwepo hata miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu kwanza hakuna chama imara zaidi yake, hapa miaka ya karibuni kuna chama cha chadema ambacho kimejipambanua kuwa kitairithi ccm uchaguzi ujao lakini hzo ni ndoto za andanacha. It won't happen. Chadema ni chama cha kikabila na umangimeza. Pia bado wananchi walio wengi hawaijui hasa vijijini. Ccm itaendelea kuzoa ushindi tu

sasa hapo hoja yako ni ipi,, mbona akili yako kama ccm
 
nothing, Chris Lukosi,

..ni makosa kufikiria URAISI peke yake.

..BUNGE nalo lina umuhimu wake.

..ili Tanzania isonge mbele tunahitaji bunge ambalo liko balanced.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni kijana wa miaka 25 sasa. nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yangu na kubaini mambo yafuatayo,. chama kilichoko madarakani ni ccm na kitaendelea kuwepo hata miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu kwanza hakuna chama imara zaidi yake, hapa miaka ya karibuni kuna chama cha chadema ambacho kimejipambanua kuwa kitairithi ccm uchaguzi ujao lakini hzo ni ndoto za andanacha. it won't happen. chadema ni chama cha kikabila na umangimeza. pia bado wananchi walio wengi hawaijui hasa vijijini. ccm itaendelea kuzoa ushindi tu

Yani kajamaa kameka kisisimu ccm hata uwezo wake wa kufikiri ni wa kiccm pole kadogoo
 
mimi ni kijana wa miaka 25 sasa. Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yangu na kubaini mambo yafuatayo,. Chama kilichoko madarakani ni ccm na kitaendelea kuwepo hata miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu kwanza hakuna chama imara zaidi yake, hapa miaka ya karibuni kuna chama cha chadema ambacho kimejipambanua kuwa kitairithi ccm uchaguzi ujao lakini hzo ni ndoto za andanacha. It won't happen. Chadema ni chama cha kikabila na umangimeza. Pia bado wananchi walio wengi hawaijui hasa vijijini. Ccm itaendelea kuzoa ushindi tu

najisumbua bure kukoment.. Kumbe wewe ni nothing yaani zero brain??
 
huyu kijana atakuwa alilala usingizi, alipoamka huku akisubiria mamayake ampe chochote akaamua kutuma post kama hii, au alikuwa anaota ndoto akiongea na babu yake kuhusu usisiemu
 
Haihitaji akili kubwa kukubaliana nawewe dogo,CCM itaendelea kutupa serikali na bunge,sio kwamba chadema ni wabaya ila ni wengi wa viongozi hawastahili kuwapa mustakabali wa taifa letu,nakupa home work,je 'raisi' slaa angepangaje baraza la mawaziri kuzingatia aina ya wabunge wa cdm?wajenge taasisi chamani kwanza
 
Dogo huo ndio ukweli na hauhitaji PhD au nuclear physics kujua Hilo! Kamwe CDM hakiwezi kuchukua nchi hii labda miaka 1000 ya badaye!

Ikikuuma jitundike! Huo ndio ukweli
 
akili za kuku chadema lazma tushinde 2015 wewe mtoto kojoa ukalale viroba vimeshawamaliza
 
nothing, Chris Lukosi,

..ni makosa kufikiria URAISI peke yake.

..BUNGE nalo lina umuhimu wake.
Thanks

Ningependa Chadema ipate wabunge wengi zaidi ili kuwa na changamoto kubwa zaidi
..ili Tanzania isonge mbele tunahitaji bunge ambalo liko balanced.
Thanks

Ningependa Chadema ipate wabunge wengi zaidi ili kuwa na changamoto kubwa zaidi
 
akili za kuku chadema lazma tushinde 2015 wewe mtoto kojoa ukalale viroba vimeshawamaliza[/QUOTE

Chadema kuchukua nchi siyo leo wala kesho, ilikuwa inakuja vizuri lakini Ukanda umeimaliza zaidi, pia sidhani kama wanania hiyo maana hata ofisi zao mikoani zinafufuka tu pale uchaguzi unapokaribia au ziara ya viongozi wa juu wakifika eneo hilo, chama hakina kitega uchumi, Chama maarufu kilitakiwa kiwe na ofisi kubwa ktkt ya jiji lakini makao makuu yapo kinondoni makaburini tena nyumba ya kupanga, kina NIA kweli ya kuchukua nchi??!!.

Body without head
 
Back
Top Bottom