CHADEMA Kuchukua hatuwa za kisheria baada ya Mhe. Lema kushikwa kinyume na utaratibu

Natoa ushauri kwa idara ya habari Chadema hasa ndugu yangu makene , taarifa kama hii inapaswa kuwekwa katka mitandao mingi ya kijamii tena katka lugha mbalimbali . ili dunia itambue nn kinaendelea Tanzania.
 
Nchi ya hovyo sana hii! Hapo ni mbunge polisi wanamzuia wanavyotaka! Hivi rais hajiulizi hali ikoje kwa mwananchi wa kawaida?

Polisi wamekuwa wakatili sana chini ya utawala huu! Sheria mkononi. Polisi anaweza akakusweka ndani akitaka na kuamuru usipewe dhamana.
#BureKabisa

Hivu mkuu mnaposema rais huwa hajiulizi kuhusu hii hali, huwa hamjui kweli who is behind this situation?
 
Mkuu point yangu hapa ni kwamba hali ni mbaya zaidi kwa wananchi wa kawaida bila kujali hata vyama vyao.

Hayo madaraka wanayopewa dhidi ya upinzani kinyume na katiba, huwa kwa upande mwingine, wanayatumia kwa manufaa yao binafsi. Ukiona Lema ambaye ni mtunga sheria anaswekwa ndani bila dhamana wala kufunguliwa mashtaka, tena mtu mwenye wanasheria, hali huwa inakuwaje polisi anapoamuwa kukufanyia unyama kwa issue ambazo wala hazihusiani na siasa? Au hujawahi kukutana na unyanyasaji wa hao wajinga?

Hilo limeongeza corruption kwenye jeshi la polisi na linaendeshwa kama genge la kimafioso tu. Yani almuradi polisi anadhibiti upinzani, lolote atakalofanya hakuna wa kusema. Wako juu ya sheria. Na hii ni matokeo ya udikteta.
 
Mkuu uko sahihi sana, ila kwa rais hilo sio tatizo as long as hilo jeshi la polisi akiwapa amri yoyote wanatekeleza, hata zilizo nje ya sheria.
 
MAGUFURI ANA ROHO MBAYA SANA. NI MTU MBAYA SANA. ANA CHUKI NA VISASI PIA ANAJIONA NI MUNGU MTU!
Si alisemaga akifika Mbinguni atapewa kuwa kiongozi wa malaika? Sijui huko mbinguni watu wanaenda tu kwa sababu wanajiona huku Duniani ni viongozi?
 
Polis wanaongoza kuvunja sheria za nchi, inauma sana kwa kweli.Ningelikuwa mbunge waziri Wa mambo ya ndani angenitambua.Taasisi za serikali lazima zifuate taratibu Na sheria...
 
Shida ni kwamba Lema aliinyesha ydhaifu wa RPC Singida. Sasa ana komoa kabla haja tumbuliwa.. Their dats are numbered

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko sahihi sana, ila kwa rais hilo sio tatizo as long as hilo jeshi la polisi akiwapa amri yoyote wanatekeleza, hata zilizo nje ya sheria.
Jeshi la polisi lote ni uozo na uongozi uliopo umeongezea tatizo.

Hata traffic police wanafanya wanachotaka mradi wahakikishe wamepeleka mapato serikalini ya kutosha baada ya wananchi kubambikiwa faini za kutosha. Sasa ndiyo waanze unyanyasaji na waweze kupata “za kiwi” kama walivyoambiwa na rais.
 
Back
Top Bottom