CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Tuwachangie na familia ya Mawazo waungwana maisha yao yawe na ahueni Kidogo tutapata dhawabu kwa Mungu.
Au hili haliwezi kutupaisha kisiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uwe na kipaumbele katika maisha.unapoichangia Chadema na kuikomboa utawakomboa mpaka familia ya mawazo,akwilina, na wanaopata tabu wote nchi hii chini ya utawala wa kimabavu wa CCM.
 
Huwezi kutoa pesa yako wakati ulikuwa kwenye majukumu ya chama.

Sio suala la utajiri.

Kama ni hamasa wamefanikiwa na kukaa Gerezani wamekaa kimkakati na kama hamjui ni sehemu ya sensitization.
 
Hii ni mbinu ya mafisadi tu, kesho membe atatoa fedha yote kwa kushirikiana na nyalandu pamoja na mfanyabiashara mmoja maarufu.

Lengo hapa ni kuuhadaa umma kwamba chadema inapendwa lakini uhalisia ni kwamba hela ipo na imetoka kwa mfanyabiashara ambaye muda ukiwadia tutamtaja rasmi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo katiba ya nchi imevunjwa au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You may have a point.

Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.

Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
Alafu kuna wanaccm wengi wapo jera kwa kukosa kulipa faini ya laki moja ...Ila eti huyu muhamiaji ajamaliza ata mwaka leo CCM tumetoa milioni 30...hii ni fedheha na matusi. Inaonyesha kua CCM tuna matabaka
 
Hapa kubwa sio pesa bali perception ambayo wanainchi wanayo towards upatikanaji wa haki. Inawezakana kama chama wakawa na uwezo wa kuwalipia viongozi wao lakin je uamuzi dhidi ya viongozi wao umetenda haki? Je wanaichi wameona haki imetendeka!
 
Luqman mohamedy,
Mkuu,shule anakosoma mwanao ina vyoo vya kutosha,madawati na waalimu wa kutosha? Donor country kujengewa choo cha milioni 2 na wamarekani ni fahari kwako?
 
CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.

Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.

Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?

This is shame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabendera aliyemchoma....ni Mayalla mwanaccm mwenzake....na yeye kabendera since 2015 alikuwa upande wa Jiwe kwny kampeni....sasa huliona WAP chadema wakamchangia puppet.
 
Aliyebuni move ya msigwa imebùuuuuuuuuuuuuuuuuma boooooooom booooooooooom.pumbavu zenu wanafiki nyie

Back
Top Bottom