CHADEMA kuanza kuwatumia na kuwajenga James Ole Millya na John Mallya: Ndio Mwisho wa Tundu LISSU?

Kweli kabisa ndiyo mwisho wa Tundu Lissu. Yaani wewe ukifungua Ofisi ya Unajimu lazima utampiku hata yule aliyerithi mikoba ya pale Magomeni!!
 
Ila Chadema wapo vizuri kwenye area ya sheria. Peter Kibatala, Tundu Lissu, John Mallya, James Ole Millya, Mabere Marando, Prof. Safari n.k.
 
wanasiasa toka nje ya kaskazini CDM wanatumika tu ili kukuza mfuko wa chama kupitia ruzuku. Tageti ya CDM ni siasa za kanda ya kaskazini vijana mnaotoka nje ya kanda ya kaskazini mjue hamna future ya kisiasa ndani ya CDM
 
Unafikiri CHADEMA ni sawa na serikali ya awamu ya tano teuzi zote zinazingatia kanda ya ziwa tu!
 
Hamna lolote kwa JK mlitumia udini kuwagawa watanzania na sasa kwa JPM mnatumia silaha ya ukanda kuwagawa wananchi.
 
Vijana wadogo wasahau kupata nafasi za uongozi kupitia CDM kama ilivyokuwa zamani.......sasa ni zamu ya lowasa kuteua watu wake kushika nyadhifa mbali mbali pale cdm.....mfano mzuri tumeona kwenye viti maalum ( nafasi maalum kwa lowasa)
 
HAUTO FANIKIWA KUIPANDIKIZIA CHUKI CDM KAMWE YOU ONLY WASTE TIME CDM NI IMARA ZAIDI KILA KUKICHA / i
 
wanasiasa toka nje ya kaskazini CDM wanatumika tu ili kukuza mfuko wa chama kupitia ruzuku. Tageti ya CDM ni siasa za kanda ya kaskazini vijana mnaotoka nje ya kanda ya kaskazini mjue hamna future ya kisiasa ndani ya CDM
Kila mtu ana haki ya kusema hata kama ni upuuzi mradi tu hamtukani mwenziye!!!
 
Ila Chadema wapo vizuri kwenye area ya sheria. Peter Kibatala, Tundu Lissu, John Mallya, James Ole Millya, Mabere Marando, Prof. Safari n.k.
Hata kwenye area ya ufisadi nayo wapo vizuri. Kuna Lowassa (huyu pekee ni sawa na mafisadi milioni), Sumaye, Mbowe......
 
Ila Chadema wapo vizuri kwenye area ya sheria. Peter Kibatala, Tundu Lissu, John Mallya, James Ole Millya, Mabere Marando, Prof. Safari n.k.

Kwa kukariri chadema wako juu, ila njoo kwenye nondo za Sayansi na Hisababti sasa hapo ndio majanga, hakuna hata mmoja!
 
Back
Top Bottom