CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

View attachment 683077

Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.

Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki

Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni

sasa kwa picha hiyo si atakuja kuambiwa ameanza kufanya kampeni kabla ya kipindi kilichoidhinishwa? au atasema hajui aliyefanya hilo?
 
[QUOTE="YEHODAYA, post: 25461270, member: 315573"]wakidakwa na kuswekwa ndani kwa uchochezi wasije piga yowe kuwa wanaonewa watatoka baada ya uchaguzi.Waage makwao kabisa[/QUOTE]
Hizi ni kauli za mpumbavu na sio za mtu anaejitambua hata kidogo. ILA kumbuka kuwa Mungu hamnyimi kiumbe chake kila kitu, alikunyima akili akakupa upumbavu.
 
Mtulia ameshindwa kuelewa mgawanyiko wa mihimili, Bunge, Serikali na Mahakama, Yeye yupo kwenye bunge akavunja mkataba na kuamua kuiunga serikali

Moja ya kituko ambacho kitakuwa kichekesho kwa wajukuu zetu ni hili jina Mtulia

Ukisema kitendawili basi Sema "mtulia " Jibu kwa wajukuu wetu litakuwa "Binadamu aliyeuzwa na kununuliwa na mmiliki wake mnadani "

Huyu jamaa namfananisha na kambare mtoto, kwani kambare mtoto ana ndevu ingawa ni mtoto, Huyu jamaa ana ndevu lakini bado ni mtoto
Mbona chadema mlinunuliwa na Lowasa.
 
Upuuzi mtupu waelezeni wananchi ahadi zenu wao ndio watajua yupi wa kumchagua. Kama mnataka siasa za kuchafuana hamna mtu yupo msafi si CHADEMA,CCM,CUF
 
*WAMBOWE 9:5*

"Naye akawajibu "Msinililie Mimi,jililieni na ushamba wenu,kwa maana hakuna aliyewalazimisha kujiunga na CHAMA AMBACHO NI MALI YANGU NILICHOPEWA NA BABA MKWE* Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni,wala wasiweze kumjibu.
Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake benki na kuchukua RUZUKU YOTE NA KUITUMIA ATAKAVYO. *
 
hizo siasa unazoshauri sio za CHADEMA.....SIASA ZA chadema NI ZA SHARI SHARI, VURUGU,MATUSI,BANGE..N.K....KAMA UNATAKA SIASA ZA KISTAARABU NJOO CCM

Ccm hawana siasa za kistaarabu asikudanganye mtu. Ccm wanatumia nafasi ya mwenyekiti wake kama amiri jeshi mkuu kufanya lolote kisha kutumia vyombo vya kimamlaka kuficha uovu wao.
 
*WAMBOWE 9:5*

"Naye akawajibu "Msinililie Mimi,jililieni na ushamba wenu,kwa maana hakuna aliyewalazimisha kujiunga na CHAMA AMBACHO NI MALI YANGU NILICHOPEWA NA BABA MKWE* Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni,wala wasiweze kumjibu.
Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake benki na kuchukua RUZUKU YOTE NA KUITUMIA ATAKAVYO. *
Siyo bure lazima utakuwa mfuasi wa Nabii Tito wewe.
 
Wananchi wanahitaji ahadi safi na tekelezeki za maendeleo na wala hawahitaji nyaraka na video za rushwa.
Kumbe unajua nyaraka na video za ushahidi wa Mtulia zipo ila kwako wewe bora rushwa. Nakuomba usiwe na wasiwasi maana TUKUKURU itaukataa ushahidi huo kwa vile rushwa kwenye chama na watawala wetu wa sasa ni halali.
 
Chadema wanaushahidi wa kila kitu MITANDAONI ila kiuhalisia, ni kiki tu za kisiasa, hawana ushahidi wowote wa kuutoa popote.
 
Mtulia ameshindwa kuelewa mgawanyiko wa mihimili, Bunge, Serikali na Mahakama, Yeye yupo kwenye bunge akavunja mkataba na kuamua kuiunga serikali

Moja ya kituko ambacho kitakuwa kichekesho kwa wajukuu zetu ni hili jina Mtulia

Ukisema kitendawili basi Sema "mtulia " Jibu kwa wajukuu wetu litakuwa "Binadamu aliyeuzwa na kununuliwa na mmiliki wake mnadani "

Huyu jamaa namfananisha na kambare mtoto, kwani kambare mtoto ana ndevu ingawa ni mtoto, Huyu jamaa ana ndevu lakini bado ni mtoto
NImeipenda hii:-

Mtoa kitendawili: Kitendawili
Watoa majibu: Tega
Mtoa kitendawili: Mtulia
JIBU:- "Binadamu aliyeuzwa na kununuliwa na mmiliki wake mnadani "

Safi sana Mkuu GUSSIE.
 
Tunza kumbukumbu vizuri,mamlaka husika haikusema ni feki,bali waliingiza siasa.
 
6165474b15a55d29c4adae546770cf50.jpg
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom