CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

Okw siasa za hivi zisipewe kipaombele na cdm, itumike kama kibwagizo tu na wala isiwe ndio ajenda. Kuna mambo mengi makubwa na ya msingi ya kuwaambia wananchi na sio hivyo vijembe. Kwa mimi niona kuna fursa kubwa ya kuishambulia ccm kwa hoja, sidhani hata kama ningehitaji kuonyesha video za rushwa, labda kuzirusha huku mitandaoni lakini sio kwenye majukwa rasmi ya kampeni. Kuna hali ya uchumi kudondoka, vipaombele vya nchi, kushusha bei ya vifaa vya ujenzi nk. Hivyo mtu ukijikita kwenye mkutano wa dk 90 hizo video zinaweza kukosa nafasi. Kuna suala la katiba mpya, haya ndio majukwaa mujarabu ya kuanza kupandisha joto, maana kila siku tunasema tutadai katiba mpya na nafasi ndio hizi. Au tutasubiri mpaka wakati wa kampeni 2020 ndio tuongelee katiba mpya? Tusiwape hao ccm hoja nyepesi za kujibu, maana hizo video na nyaraka tutakuwa tumewapa mambo marahisi kuyajibu kipropaganda.
I really loves you sometime cuz u make urself more than a GT, hoja yako ni ya mashiko zaidi...I salute it tindo.
 
Nassari alikuja na videos na chadema ikaangukia pua sembuse nyaraka?

Tumeishapewa sababu kwanini ushahidi haukuchukuliwa maanani maana Polisi,Takukuru,Magereza Mahakama vyote vya CCM (Masha & Bashe) Mbweni
 
Mtaishia kunawa chadema, ivi Kinondoni nzima hamuoni haya kutuwekea mzanzi?
Mlipokuwa na rais mzanzi hamkuona hilo ila kwenye ubunge tuu? Na toka lini mzanzi akawa sio Mtanzania? Hussein Mwinyi alipokuwa mbunge Wa Mkuranga haikuwa nongwa pia Bali kijana jabali Mwalimu kuwepo Kinondoni ndio nongwa?
Acheni ujinga huo maccm
 
View attachment 683077

Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.

Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki

Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni
Kwani chadema na Cuf walivyompigania Mtulia 2015 hadi kuupata ubunge walijua kuwa "ananunulika?"
 
View attachment 683077

Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.

Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki

Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni
HIZO video Zen zilisaidia nini Arumeru
 
CHADEMA acheni siasa za matukio ,jikiteni kwenye sera zinazowagusa wananchi

labda nitoe ushuhuda mmoja uliotokea maeneo ninayoishi

kwenye uchaguzi mkuu 2015,diwani aliyekuwa madarakani alikua ccm ila diwani mpinzani alikuwa cuf(akiwa ndani ya ukawa) ,huyu diwani wa ccm alikua hawezi kunadi sera zake bila kumtukana diwani wa upinzani tusi la "hanithi"( japo ana mke) kitu ambacho diwani wa upinzani hakuwahi kukijibu hata siku moja kwenye sera zake hata siku moja,kwanza alijibebea points kwa kustick kwenye maswala ya wananchi hii ilimpa heshima hadi wazee,wamama na wananchi wote eneo letu bila kujali chama na hakika alishinda kwa 80% tunamkubali sana kwani maendeleo tumeanza kuyaona tunajivunia sana kuwa naye

Naomba mbaki kwenye sera ,uzeni sera zenu mtashinda mapema sana
Rushwa haigusi wananchi?
 
Back
Top Bottom