OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,714
Mda wowote wakati wa kampeni Chadema na UKAWA wataanza udondozi wa nyaraka na video za Mtulia zikidhibitisha kupokea rushwa za kujiuzuru ubunge.
Mtulia ameonywa kuwa asijione mjanja kuwafanya wana Kinondoni wajinga. Chadema itatumia kampeni kuwaambia kwa ushahidi kwamba Mtulia hawafai na anatakiwa awe gerezani na sio uraiani kwa msaada wa wanaommiliki
Nyaraka hizo zitawekwa wazi kwa waandishi wa habari na mitandaoni