CHADEMA kuanza kudodosha nyaraka za rushwa alizopewa Mtulia

*WAMBOWE 9:5*

"Naye akawajibu "Msinililie Mimi,jililieni na ushamba wenu,kwa maana hakuna aliyewalazimisha kujiunga na *CHAMA AMBACHO NI MALI YANGU NILICHOPEWA NA BABA MKWE* Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni,wala wasiweze kumjibu.
Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake benki na kuchukua *RUZUKU YOTE NA KUITUMIA ATAKAVYO*

6165474b15a55d29c4adae546770cf50.jpg
 
Mmeshatengeneza tena video fake kama za Arumeru?? Hamtapata kura tena kama mlivyofanywa Arumeru!

......Vipi mmeshaandaa kumpandisha cheo mwingine kuwa RC? Maana huko kwenu wala rushwa, tena kwa ushahidi, huwa wanazawadiwa tehe teheee.....
 
Trump na Clinton ni waafrika ? Kumbuka MANENO ya kampeni zao mpaka e-mail zinatajwa
Hapo utajua Africa hakuna vyama vya upinzani badala ya kufocus kwenye sera zao wanawaza mambo kuchafuana ambayo hayana faida yeyote kwa mwananchi wa kawaida ambae angependa kujua kuhusu sera zao zinafaida kwao.
 
Mmeshatengeneza tena video fake kama za Arumeru?? Hamtapata kura tena kama mlivyofanywa Arumeru!
Ni kweli kwa jiwe hawatapata kitu,ila ambacho watakipata ni kuwajulisha wananchi
 
Back
Top Bottom