CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

bid2015

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
306
59
cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
 
Elimu na uwezo wa kujenga hoja wa huyo wa maghamba umetusaidiaje kutuwezesha watanzania tusiingie mikataba
ambayo haina manufaa kwa taifa au hata kutustua when it comes to dubious deals done by corrupt govt officials.
 
cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!

Umetumwa tu si haba! hivi katika siasa za bunge la jamhuri mbunge wa ccm msomi akafanye nini? Labda akauungane na wenzake kulala bungeni. Mbunge tunaye mtaka ni muadilifu ambaye atakataa hoja zikifisadi bungeni na kulinda mali yetu isitwaliwe kwa kisingizio cha uwekezaji hiyo kazi ataimudu ipasavyo kashindye. huyu mwenye phd aende kufundisha au afanye kazi za ushauri kwa serikali ya magamba
 
<br />
<br />
jamani embu acha mambo ya kitoto,inaelekea ume2mwa, hoja si kuongea hoja ni maendeleo,huyo kamishna wa madini anawadanganya wazawa kwa kuwapa wageni sehemu ya kuciima
 
Kafungue blog yako upost huko huu utumbo. Jaribu bahati yako, kwa sababu post yako ni faraja kwa magamba. U can fetch some cash out of your own shit.
 
cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
Talking this shiiiiiiiiiiiiiiiiit, you must be a "GREEN GUARD MEMBER" or any other Empty-headed creature, royal to "MAGAMBA".................... GO TO HELL..............!!!!
 
chama chetu cha democrasia na maendeleo bado hakijawa tayari kwa ushindi igunga kutokana na uwezo mdogo wa mgombea wetu wa kielimu na kujenga hoja ukilinganisha na yule wa magamba...........!

chadema wameshaanza kutapatapa na kuamua kupiga viongozi wa serikali kama vile dc badala ya kuendesha kampeni za kistaarabu. Mikutano yao ambayo haina tija imekosa wahudhuriaji katika maeneo ya vijijini.
 
elimu na uwezo wa kujenga hoja wa huyo wa maghamba umetusaidiaje kutuwezesha watanzania tusiingie mikataba
ambayo haina manufaa kwa taifa au hata kutustua when it comes to dubious deals done by corrupt govt officials.

ukizingatia amekuwa ni mkurugenzi/kamishina wa wizara ya madini hivyo mikataba kandamizi dhidi ya tanzania alishiriki kuibariki
 
cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
<br />
<br />
Kama wewe ni kijana ukizeeka utakua mchawi, wacha umbeaumbea nakutumikia mafisadi
 
6th september 2011,inaonekana umejiunga humu kwasababu umetumwa na magamba kwa ajili ya kampeni za IGUNGA
 
cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
Chama chenu na Nape, kamsaidie uchaguzi wa diwani sijui wapi kule, amefukuzwa Igunga kwa kuwa hana busara kama wewe
 
Ana elimu ndogo! Sasa alipataje u-afisa elimu wilaya? Au nyinyi mtu akiwahama mnambadilikia? Au serikali ya ccm imejaa watu wasio na elimu?
 
Jamani kwa vyovyote lazima mshindi apatikane! iwe CHADEMA;CCM; CUF au DP. na atakayeshindwa lazima roho imuume!! Lakini itauma zaidi kama mshindi atapatikana kwa HILA!!!
 
Wasomi wa Tanzania wanaongoza kuibomoa Tanzania.
Bunge limejaa ma profesa wamefanya nini na u profesa wao?
 
I will not comment on this maana mtoa mada ni puuzi kama hao ma CCM wakiwaza muda wote ni ki masaburi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom