CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

quinin quinin??? amka mtanzania wa leo si sawa na wa Jana njaa imemfundisha kumtambua nan mchawi wake(CCM),come 2moro, come people's power
 
Here are few lines:

1. Ngeleja Acha Geresha, Kazi Imekushinda, Jiuzulu.
2. Waziri Mwinyi, Damu Yetu Itakuhukumu.
3. Hatutaki Aldawi Hata wa Kuchonga, Hakuna Kuilipa Dowans.
4. Mubarak Kaondoka Jana, Mafisadi Mtaondoka Kesho!

and more to come
 
HARAFU KINGINE USIWAZARAU HAWA WATU KUWA HAWANA UELEWA JAMAA WANAJUA WANACHOFANYA HIVYO KINACHOTAKIWA NI KUWAELIMISHA TU JINSI YA KUFANYA BIASHARA BORA MAANA WAENDE WAPI KAMA WANAFUKUZWA TU LAKINI HAKUNA ALTERNATIVE?
Nimekupata mkuu ila cijawadharau hawa Machinga,Mamamlishe na waendesha pikipiki. Natambua hawa ndo BOT au Hazina ya CDM katika peoplez power,Wasomi wengi wa Tanzania ni hazina vilevile kwa CDM ila hawapendi kujitokeza hadharani kwa kuogopa kupoteza ajira zao.Kumbuka "Nothing goes for Nothing" Machinga,bodaboda na mamalishe wanataka matatizo yao yatatuliwe na kura zao.So we should find
the long lasting solution to their problems so us to keep trustworthy.
 
1) "No tax exemptions to our natural resources rooters"

2) "We want quality education and life"

3) "Mbagala / Gongo la Mboto, let irreponsible leaders resign"

4) "Richmond / Dowans scandal is the highest degree of impunity by the 4th
Government".
 
here are few lines:

1. Ngeleja acha geresha, kazi imekushinda, jiuzulu.
2. Waziri mwinyi, damu yetu itakuhukumu.
3. Hatutaki aldawi hata wa kuchonga, hakuna kuilipa dowans.
4. Mubarak kaondoka jana, mafisadi mtaondoka kesho!

And more to come

"ccm ina wenyewe''
 
Kabla hamjahamasisha na kuchangia maandamano ya Mwanza.Je mmeuliza kama utaratibu umefuatwa wa maandamano?.Kama kuna mtu ana taarifa za utaratibu uliotumika kuomba kibali atume hapa tushirikishane.
Nawasilisha.

Mie sina cheo CDM ila Mkereketwa wa Mwanza.Ila nadhani tayari maana jana walipita hapa wakitangaza.
 
greatthinkers;

kwanza ifahamike kwamba dr. Slaa huwa hafanyi mambo kwa kubabaisha,ukweli ni kuwa kibali kipo tayari.

Najua watu wengi wanatamani waruke waje mwanza ila unaweza kushiriki japo kwa kutoa maoni juu nini kiandikwe ktk mabango kesho.

Sentensi iwe fupi ujumbe uwe wa kiingereza au kiswahili. Unaobeba hisia na machungu ya watanzania.

Kwa wale wanaotoka hapa mwanza hitimisho la maandamano itakuwa uwanja wa furahisha.

Nchi tajiri, wananeemeka watoto wa akina fulani, wengine tubaki kuwa vijakazi wao.
:rain:no way!:a s 13:

rais-hajui kitu, pm-muongo,igp-muuaji,spika-dikteta. Tumewachoka, ondokeni kabla hatuja wamisri
 
1) 'tunataka kiongozi anaejua matatizo yetu'

2)'uwajibikaji ni lazima'

3)'tunataka viongozi sio watawala'

4)'hatutaki serikali inayotugawa kiitikadi na kiimani'

5)'elimu bora kwa maisha bora'

6)hatutaki majibu mepesi kwa maswali magumu'

7)'jk jiuzulu, umeshindwa'

8)'wananchi kwanza'

9)'ikulu sio gulio'
 
Back
Top Bottom