Chadema kisipokua makini kinaweza kupoteza point kubwa sana

paul vicent

Member
Jul 13, 2012
44
4
Kule mwanza kumetokeza upungufu wa meya ,ingawa baadhi ya wadau wanasema mkurugenzi wa manispaa ni chachu ya kuondoka kwa meya huyo wa chadema ,kweli kabisa kufanya kazi na taifa ccm ni kazi ngumu ila kiongozi shupavu anatakiwa kufanya kazi katika mazizngra magumu na kuyaleta kuwa rahisi,huo ndio ushujaa ,ila kwa kuogopa kuharibu na kujifunza kupitia makosa ,tutakimbia vingapi?hii nii plopaganda tayari kwa wana ccm kwenye chaguzi zijazo watatuita waoga tena sio jasili,tuwe makini na hawa watu jamani wapo kututenngenezea mazingira magumu siku zote ili wabaki madarakani ,
 
je unajua kwanini tulipoteza umeya mwanza, je unajua kwanini ilemela hawana meya, je unamjua meya wa Arusha kama ndiyo alipatikana kwa njia sahihi ama lah..je cdm imepoteza point ngapi arusha..watanzania waleo wanauelewa yaani mpaka wananitisha kama huamini waulize cuf.
 
Back
Top Bottom