Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,647
Kama kuna kitu cha kujivunia zaid kwenye medan za siasa ni jinsi chadema kilivo fanya siasa za kiharakat na kimabadilko hasa ndani ya miaka kumi iliyopita jahaz likiongozwa na kamanda wa angani Freeman mbowe pmj na Dr wilbroad slaa pmj na slaa kuondoka lkn mchango wake ni mkubwa
Hakika chadema ipo kwenye akili ya watanzania, kupitia chadema watanzania wamepata elimu ya Uraia, watanzania wanahoji, watanzania wanatembea kifua mbele wakijivunia uwepo wa chadema Tanzania
Uchaguzi mkuu wa 2015 ulikuwa mwaka wa chadema kutokana na kazi kubwa iliyofanyika kuanzia 2010 isingekuwa uporaji wa ccm kupitia tume ya Taifa ya uchaguzi NEC Leo hii chadema ingekuwa ndio Chama tawala
Hata hivyo chadema ya Sasa inaenda kisayansi zaid viongoz wa chadema wanabadilika kidogo kidogo kutoka kwenye uharakat wa kugawa elimu ya Uraia kwenda kwenye siasa za kisayansi kama wa democratic au wa Republican wa USA, chini
Sina budi kuwapongeza viongoz wote wakuu wa Chama pmj na viongoz wa Kanda kwa kazi kubwa mliofanya
Sasa upande wa pili wa ccm ni kama uwekezaji usiotabirika, maana uhai wao Sasa ni ngosha tu, naye amekuwa sio mtu mipango ila ni mtu wa showoff
Tayari wananzengo huku mtaani washaaanza kuhoji... Kuhusu utumbuaji wa majipu pekee Kama unampa unafuu mwananchi wa kawaida
Sukari kutoka 2000 Sasa 2500 tsh
Alisema viwanda.. Watu wanajiuliza viwanda vitazalisha nini bila malighafi!?
Anasema tumuombee... Je tumuombee kwa kufukuza kazi wanyonge na kuwaacha mafisadi papa kina Lugumi na dau wakitamba mtaani?
Mwananchi wa Sasa hatak maneno anataka vitendo sio kila siku unaomba uombewe kwa lipi?
Wakat unakimbia sana, bwana ngosha wanaccm wanakutegemea wewe maana hata mwenyekit wa mtaa ataomba kura kwa jina Lako na Tayari umeshaanza kushindwa maana umewanyima wananchi wasiangalie bunge Lao unaficha nini huko bungeni?
We si unajinadi mzalendo?
Km utasingizia Kubana matumizi.. Mbio za mwenge hujaziona?
Mwenge unafaida gani zaid ya kutuletea laaana tu
Labda nikushauri tu ili usifeli kabisa
Ongeza thaman ya mazao ya mkulima kwa asilimia 100 hapo mwananchi walau unakuwa umemgusa, peleka umeme, barabara, na maji angalau unaweza ukawatoa ccm ICU na kurudi kwenye wodi za kawaida
Hongereni chadema Polen ccm