Chadema kinafanya siasa za kistaarabu kuliko chama chochote tz

Shapecha

Member
Oct 21, 2010
45
1
Chadema ndiyo chama pekee Tanzania halafu kinafanya siasa za kistaarabu tofauti na vyama vingine vya upinzania vilivyopita. Hii inajidhihirisha kwa sabbu zifuatazo
1. Imekataa kuitambua serikali lakini imekaa kimya bila kuitisha maandamono yoyote hadi sasa ingekua CUF ungeona maandamono amabovyo yangeshamiri hasa siku za ijumaa

2. Pamoja na kukataa matokeo hakuana damu ya mtu yeyote iliyomwagika hadi leo hadi CCM na CUF wanaona aibu pamoja na Chokochoko zao

3. Wabunge wao wameonyesha kwa vitendo na kwa ustaarabu wa hali ya juu kugomeo hotuba ya Rais kwa kutoka bungeni bila kujubu mabezo ya CCM walikua wanshaut kwa nguvu!

4. Kumekua na Ucakuaji wa hali ya juu wa kura za wabunge hasa Shinyanga mjini, kilombero, Tarime, Segerea lakini Chadema inachukua hatua kwa ustaarabu wa hali ya juu nadhani ingekua CUF hapo ungeona watu kadhaa washapoteza maisha.

5. Ni chama kinachojijenga kwa strategy shirikishi bila kuathiri maisha ya watu.

6. Ni chama ambacho kinajua maana ya Political Tolerance siyo kama vyama vingine ambavyo vinaamini katika maandamano wakipewa madaraka wananyamaza

7. Ni chama pekee ambacho kinataka kuingia ikulu bila kuona damu ya mtu inamwagika kama Dr wa ukwedli Slaa alivyosisitiza wakati wa campaign.

9. Ni chama kinachoamini katika hoja siyo jazba nadhani mliona siku ya mdahalo wa mbowe na AR. AR alikua anaongea kwa jazba sana hadi alikua ananitisha mie.

10. Ni chama pekee kilichoweza kuface chokochoko za CCM kwa ustaarabu wa hali ya juu bila kuharibu chama. Hadi leo CCM imekua ikitafuta means za kuharibu amani ya CDM but wameshindwa. wamesema ni chama cha kidini wameshindwa, Slaa kaiba mke now wapo kimya, Zitto sijui kafanya nini kimya.

11. Ni chama ambacho kinatengamana na wapenda madaraka kama akina kaburu, Kafulila na yule mama aliyekimbia juzi. Wameondoka lakini CDM imekua kimya ila wao unaona walivyopiga makelele kibao now wamenyamaza baada ya kuonekana wajinga.

Hii ni baada ya upembuzi yakinifu.
 

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
305
Hakuna kitu kama hicho wewe , jamaa wamekuwa wapole baada ya kuona yale waliyokuwa wanawaambia wananchi hayakuwa na ukweli wowote na wananchi wakawashtukia, sasa hapo inabidi wawe wapole kwani ile nguvu ya umma waliyokuwa wanaitegemea imewageuka. Jamaa wamechanganyikiwa hawajui wafanye nini kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom