CHADEMA kina wanachama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kina wanachama?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipinduka, Jun 13, 2012.

 1. k

  kipinduka Senior Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA ina wanachama au mashabiki?
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,655
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Ina wapiga kura
   
 3. h

  hoyce JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,108
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tupo. Mimi kadi na. C. 067425
   
 4. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina wanachama ambao ni mashabiki na wapiga kura.
   
 5. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,560
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Bahati yako nimeshaondoka nyumbani ningekuorodheshea kadi mpaka za watoto wangu,halafu
  ni za toka mwaka 2007,baada ya List of shame kutajwa pale mwembeyanga ndipo mimi na familia
  yangu tukaona hiki ndicho chama cha kutukomboa na kizazi chetu.IN SHORT "CHADEMA ina WANACHAMA
  na WAPIGA KURA" na kama unataka kuthibitisha subiri 2015,utapata jibu.
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,055
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  sasa hili swali gani?ni sawa na mtoto akiwa na mama yake matembezini wakamuona singa singa ana midevu miingi ana kula, mtoto akamuuliza mama yake , mbona huyo mtu anakula na hana mdomo? alichojibiwa siwe andika hapa, lakini ndilo jibu linalokufaaaaa wewe
   
 7. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,660
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Chadema imejaa mashabiki na wakereketwa wa mabadiliko!!! Ccm imejaa vibaka, wezi na wanyang'anyi!!

   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  haina wanachama wala mashabiki kwani vipi?
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,975
  Likes Received: 8,403
  Trophy Points: 280
  Chadema ina wanachama mimi nikiwemo .
  Chadema ina wapiga kura subiri uone,imebaki miaka 3
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,954
  Likes Received: 6,491
  Trophy Points: 280
  Does it make any difference???
   
 11. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 9,000
  Likes Received: 5,103
  Trophy Points: 280
  Sikieni enyi kizazi hiki. Mwaka 2013 kutaanza migogoro ndani ya CHADEMA, 2014 kitagawanyika vipande vitatu ndipo watanzania mtakapo amini maneno haya.

  Asomaye na afahamu.
  Makundi yenyewe yatakuwa haya niyataje?
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanachama wake hawana tofauti na mtu anayeruka mkojo na kukanyaga kinyesi.
   
 13. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,953
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tupooooooooooooooooooooooo
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,082
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nilikuwa mwanachama wa CHADEMA ila nimerudisha kadi pale jangwani juzi. Baada ya miaka mitatu utaona ambavyo wananchi wametambua kuwa kweli CDM ni walaghai.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,929
  Trophy Points: 280
  wapo mimi CDM No. 0xxx47x
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,929
  Trophy Points: 280
  Kina wanachama wengi tu,rejea kutoka ubunge viti vi3 mpaka 24 sasa na hyo 2015 lazma igote 150.
   
 17. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,514
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Muuli hza swali ni sawa na mtu anayeweza kuuliza " Hivi niko hai?" Huo ni uzandiki, wewe unaishi wapi kwa yanayotendeka hapa Tz? Chaguzi zinafanyika, mikutano inafanyika, watu kibao hususa toka chama cha magamba sisiemu wanajiunga na wewe ni shahidi kwa mimacho yako unaona. Wataka nini?
   
 18. Babuu Rogger

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 727
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Siku hizi WASIRA amewaambukiza watu wengi UMBEA, ona huyu sasa, watu maisha yameshawapiga unatuletea mambo ya kinanii hapa! U NEED :help:
   
 19. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kisinge sajiliwa kama hakina wanachama.Kumbuka vigezo vya kuwa chama cha siasa
   
 20. d

  dotto JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwani CCM na CDM jumla yaweza kuwa na wanachama wangapi ukilinganisha na idadi ya WAtanzania waliopo kwa sasa?. Hii dhana ya wanachama ni mbinu ya kiwizi tu hakuna jipya!!. Na hii dhambi ya wizi itawaua tu. Huwezi kuwa unaiba kila siku then Mungu yupo anakuona na pia unaenda nyumba za ibada bila ya kutubu na kuacha hiyo tabia. Hivi unajisikiaje kuiba kura kwa kuficha kwenye ma hotpot ya vyakula na ukalazimisha watu wengine waache shughuli zao ili eti kulinda kura zao ziibiwe. hii ndo inaitafuna CCM na watu wengi waungwana inawakera lakini pia inaondoa credibility ya CCM kuwa ni wasafi.
   
Loading...