CHADEMA kimewezaje kuishi bila Ruzuku na maisha yanaenda vizuri tu

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Chama hiki hakina Ruzuku ata sent Mia, japo waziri mwigulu aliwaomba Sana waje wachukue Ruzuku, lakini kupitia Mbowe waligomea iyo Ruzuku.

Ni mwaka Sasa umepita Chadema haina Ruzuku ata ya shilling mia, Ila naona shughuri za Chama zinaenda vizuri tu,, ofisi za Chama zinajengwa nchi nzima, na shughuri zote hapo makoa makuu zinaendelea.

Je ni ni kweli kupiti Kadi chama kinakusanya hela za kutosha kuweza kujiendesha. Kupitia hili nimeamini kuwa Ruzuku sio lazima, izo pesa za Ruzuku wanazochukua CCM na ACT, zinaweza pelekwa kwenye huduma za kijamii.

Swali, Chadema tupe Siri ya kuishi bila kutegemea Ruzuku, mmewezaje?
 
Leo nimekutana na hili bandiko lako, Lina hoja muhimu Sana, Ila nimeshangaa, hakuna mchangiaji yeyote, mimi ndiye mchangiaji wa kwanza!.

Kwanza mimi siamini katika ruzuku na nilimshauri Bro aifute...
P
 
Wapi wewe
 
CCM hawawezi kukubaliana na suala la kufuta ruzuku, wanakula parefu sana.
 
CDM ni njia kuu kuelekea taifa huru linalojitambua..litakalokuwa na nguvu kiuchumi...CDM ndiyo tegemeo pekee la watanzania.
 
Gaidi chadema ombaomba
Kitu real mwamba yuko huru baada ya manyanyaso kwake kulaaniwa na Kila mwenye akili. Sasa sema kingine , he maombi Yako ya uovu kwake umethibitisha kama hayakufanya kazi. Kilichobaki uungane na akina king'aa ,badluck & co kutengeneza kesi mchongo nyingine🤪
 
Leo nimekutana na hili bandiko lako, Lina hoja muhimu Sana, Ila nimeshangaa, hakuna mchangiaji yeyote, mimi ndiye mchangiaji wa kwanza!.

Kwanza mimi siamini katika ruzuku na nilimshauri Bro aifute...
P
Mbona CCM mnachukua ruzuku?
 
Kitu real mwamba yuko huru baada ya manyanyaso kwake kulaaniwa na Kila mwenye akili. Sasa sema kingine , he maombi Yako ya uovu kwake umethibitisha kama hayakufanya kazi. Kilichobaki uungane na akina king'aa ,badluck & co kutengeneza kesi mchongo nyingine🤪
Yanaona aibu kubwa sn
 
Back
Top Bottom