Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,494
- 41,002
Tabia ya Rais kuwaona wanaofanya uovu dhidi ya wapinzani ndio wanaofaa kiasi cha yeye kuwapandisha vyeo, imewaharibu sana viongozi na watendaji. Matokeo yake watendaji wanashindana kuwafanyia uovu wapinzani ili Rais awaone na awazawadie vyeo.
Rais wetu ndiye anayestahili kubeba lawama ya maovu yote ya watendaji dhidi ya wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wetu ndiye anayestahili kubeba lawama ya maovu yote ya watendaji dhidi ya wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app