Uchaguzi 2020 CHADEMA Kilimanjaro walalamika kupewa fomu bandia na Tume ya Uchaguzi kwa Wagombea Ubunge

Hoja hapo hautashinda kesi sababu itakuwa ngumu kuthibitisha pesa uliyopewa ilikuwa bandia. Kwa hivyo hawa wagombea inawezekana hawasemi ukweli labda wamefanyiwa uhuni huko walikotunza fomu au wamezibadili wenyewe kwa sababu zao, kama wamepewa fedha wapoteze ubunge na washindani wao sisi tutajuaje?
Unajuwa kwamba Lucy Owenya ni mtoto wa marehemu Ndesa Pesa?
 
Umeenda bank au dukani ukapewa noti au sarafu bandia ukaenda nayo kwako na kukaa nayo zaidi ya siku tatu kisha baadae unarudi nayo dukani unasema ulipewa pesa bandia, Hivi hapo unaweza kushinda kesi?
Nani hapo mzembe?

Kama wameiga mambo ya Nassari waseme tu ukweli.
Umeona sasa akiii zenu za Limumba???

Huu mfano wako unamaana gan sasa???
 
Unajuwa kwamba Lucy Owenya ni mtoto wa marehemu Ndesa Pesa?
Mkuu mtoto wa Nyerere alikuwa mgombea wa ubunge kupitia NCCR-Mageuzi. Lucy anaeza kucheza faulo sababu ya mapenzi binafsi ya chama flani au kwa taamaa ya kuteuliwa nafasi kubwa na chama kingine.

Anyway, haya mawazo yangu ambayo siyo sheria au uhalisia, siri wanaijua Lucy na mkurugenzi.
 
Mkuu mtoto wa Nyerere alikuwa mgombea wa ubunge kupitia NCCR-Mageuzi.
Lucy anaeza kucheza faulo sababu ya mapenzi binafsi ya chama flani au kwa taamaa ya kuteuliwa nafasi kubwa na chama kingine.

Anyway, haya mawazo yangu ambayo siyo sheria auuhalisia, siri wanaijua Lucy na mkurugenzi.
Hao akina Lucy Ndesamburo na Grace Kihwelu Ndesamburo ndio wanaimiliki Chadema pamoja na Freeman Mbowe na Halima Mdee!
 
Hapana, Nadhan jamii haipaswi kuchukulia huu uhuni wa CCM na tume yake, kama udhaifu wa Wapinzani.

Huyu aloamua kutoa Fomu feki, maana yake amegushi nyaraka?

Sasa ktk hawa wawili nani Tumnyooshe vidole?

Aiseeee Pigeni kelele kukemea uhuni wa CCM na ikiwezekana watu waingie Mabarabarani, lakini sio kuwalaumi wapinzani.
Wameelekezwa waende polisi kuzithibitisha.
 
Sioni kama mfano wako una maana yoyote zaidi ya kutetea uovu. Uende bank kisha upewe hela fake ukae nayo kisha ugundue Ni fake huwezi kushinda kesi!

Hilo ni kweli huwezi kushinda kesi, je ni sahihi bank kutoa pesa fake kisa huwezi kushinda kesi? Kwahiyo hiyo bank itaendelea kuwa bank au ofisi ya wanyang'anyanyi?

Hivi sasa hivi ni sifa uhuni kufanyika kwenye ofisi za umma? Mnadhani mambo hayo yataishia hapo hapo? Hao wanaofanya huo uhuni na kusifiwa kama ufanyavyo hawataishia hapo boss.
Poor reasoning. Tutajuaje kama ulipokwenda huko ulizibadilisha ili kutafuta attention? Kwanini wasizikague wakati wanakabidhiwa? Wakazikataa hapo hapo.
 
Poor reasoning. Tutajuaje kama ulipokwenda huko ulizibadilisha ili kutafuta attention? Kwanini wasizikague wakati wanakabidhiwa? Wakazikataa hapo hapo.

Sababu za kulazimisha hizi, ingekuwa ni biashara ya barabarani wangalau unaweza kuwa na shaka, ila ndani ya ofisi husika unapata shaka wapi? Kwahiyo unataka kusema kwa sasa ofisi za umma haziaminiki, mpaka tufukie mahali unaweza kupewa documents fake? Are you serious for this statement or just joking?
 
Ni heri tuendelee maeneo ambayo ni salama.
seif sharif majuzi juzi alisusia uchaguzi wa zanzibar waona kilichotokea??
Bora iwe hvyo, sasa hebu cheki wameshaanza kuwateka, kuwapiga mapanga na kuwanyang'anya form wagombea ni uhuni kabisa huu.
 
Wagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya Uchaguzi.

Tatizo hilo limegundulika leo walipoenda NEC kuzihakiki.

Chanzo: ITV habari

My take: Nilisema Membe ameenda kuhakiki fomu ni jambo jema

Maendeleo hayana vyama
je mahakama zetu haziwezi kuliingia hili?
 
Back
Top Bottom