CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

Mtume Mohammad (SAW) katika moja ya hadithi zake aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.

Wewe una huruma gani kwa watanzania.aliuekutuma yupo hai.?
 
pokeeni makapi
kazi yetu ya ccm sasa ni kuchuja pumba na mchele
kwa hili michele inajulikana na pumba zinajulikana
hayatusumbui hayo

Hivi Chenge,Muhongo,Ngereja,Na yule waziri wa Utalii,Mama Tiba,hivi hawa wako bado CCM au wamefukuzwa pia?Kama bado basi msahau kuondokana na Ufisadi..

Kama Rais alishindwa kuwawajibisha walihusika na Escrow,Epa,Richmond leo ana shinkiza watu wake wapenye kwenye nafasi ya kugombea urais,siielewi kama na yeye naye ni mmoja wao hivyo anatafuta wapi watamsaidia kuficha uso wake.

Mpaka sasa hivi kama Makufuli naye ni msafi basi huko ndani hakuna msafi.Kuna unafuu tu...
 
Kazi ya kuangusha mti mbaya mkubwa watafanya watu wengi , cha msingi ni kuiangusha hili dubwana CCM, ambalo limeziba mianya na fursa , pasi uwe mtu wao.
Karibu Kamanda EL utatusaidia watanzania kwenye kilio chetu, hiki chama mwaka huu lazima wawe wapinzani, hata Mwl. aliwatabiria, upinzani halisi utatoka ndani ya CCM yenyewe.
 
huyo mtume si wa wote we ndo unamwamini si tunamwamini Kristo nae ana yake ya kutufunza tofauti na hayo bwana asifiwe sana hallelujah
Kiongozi aliyekubatiza huko aliko achukue like.......halafu wewe nakupabunyozea kale kastar chini ya comment yako.
 
Mtume Mohammad (SAW) katika moja ya hadithi zake aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.

Kweli kaka hizo zote zi alama za mnafki hawa jamaa wapo tayari kuiingiza nchi kwenye maafa kwa uchu wa madaraka......nakumbuka sana KAULI za jambazi LEMA wanaoona kwao ni kiongozi akimnanga jukwaani lowassa kwa kila aina ya maneno machafu na kumuita fisadi...eti leo anasema safari ya matumaini inaendelea VIONGOZI tuache unafki....
 
ChilliSOSI bwana!!
wafuasi wa ccm wakijiunga CHADEMA wanakubaliwa.
nyie mlitaka wakataliwe. LOWASA ATABAKI HUKOHUKO ila wanachama wake tunawapokea. UBUNGE WATAMPA LOWASA rais kula kwa chadema. Mnyimeni na ubunge basi kama mna ubavu huo. ila mjue kabla hajaamia CDM atafunguka kuhusu shutuma zake. ZIKIELEWEKA
TUTAMCHUKUA MATEKA ILI TUMTUMIE KM SIRAHA YA MAANGAMIZI KISIASA. Atataja siri zenu zote. Ndio mnaogopa hiloo.....
 
Mtume Mohammad (SAW) katika moja ya hadithi zake aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.
Vioungozi wote kwa ujumla wao katika kipindi chote cha 'kutangaza' nia wamekuwa mstari wa mbele kumkashifu kwa kumwita EL fisadi, mwizi, mla rushwa na mengine mengi.
Huko nyuma viongozi hao hao waliwahi kusema kuwa hawatopokea mabaki[makombo] toka ccm
Leo hii wanavyowapamba wanachama waliokasirishwa na kutoteuliwa kwa EL kama mashujaa na kama inavyosemekana kuwa wangependa sana EL ahamie CDM inathibitisha unafiki na fitna za hali ya juu kwa viongozi hao.
Kwa hili la sasa ninadhani nimewaelewa nikiunganisha na ile hadithi ya zabibu na sungura eti kwa kuzikosa alidai kuwa ni mbichi'
 
Kazi ya kuangusha mti mbaya mkubwa watafanya watu wengi , cha msingi ni kuiangusha hili dubwana CCM, ambalo limeziba mianya na fursa , pasi uwe mtu wao.
Karibu Kamanda EL utatusaidia watanzania kwenye kilio chetu, hiki chama mwaka huu lazima wawe wapinzani, hata Mwl. aliwatabiria, upinzani halisi utatoka ndani ya CCM yenyewe.

Well said kamanda, karibu nyumbani 'kamanda' Edward Ngoyai Lowassa. Lol!
 
Mkuu Kwanza nikupongeze kwa kuwasilisha na kuchanganua mawazo uliyonayo. Binafsi baada ya kuyasoma nami naomba pia niwasilishe mawazo yangu. Siku zote nguo inapochafuka inahitaji maji safi na sabuni ili iweze kufuliwa na kutakata. Nije sasa kwenye mada, kuhusu kilichotokea Monduli ambapo madiwani wa ccm wamerudisha kadi zao. Tukio hili lilitokea pale chadema walipokuwa kwenye harakati za kutokomeza ccm kaskazini. Hivyo basi, baada ya kusikiliza sera za Chadema na kujiona wao ni wachafu kama nguo zinazohitaji maji Safi na sabuni ndio maana walichukua hatua ya kufanya hivyo. Kuhusu unafiki sijaona kama Kuna unafikiri wowote maana kila mtanzania ana haki ya kuhamia chama chochote akipendacho ili mradi tu atimize haja yake ya kisiasa. Nawasilisha.
 
Kamwe ni ndoto cdm kuingia ikulu. Kwa wabunge watapata. Bado hawana uongozi mathubuti. Mwenyekiti wao amejaa ukanda mno, pia wapo kimaslahi sana na waongo kweli kweli.
Pole sana kamanda mimi ni CCM NILIEKWENDA COURSE MIEZI 3,WAOMBE RADHI CHADEMA!KUHUSU MASLAHI VIROBA NA SANDARUSI ZILIZICHOTWA STANBIC KWENYE ESCROW NI JAMAA,NDUGU NA MARAFIKI WA WATAWALA!HAPO CDM INAHUSIKA VIPI?MNYONGE MNYOGENI LAKINI HAKI YAKE MMPENI!
 
Mtu akitubu dhambi anasamehewa! Kama waliohamia chadema wametubu dhambi ya magamba bila hiana wanapokelewa tu!!
Cha msingi tuing'oe CCM??
 
Mtume Mohammad (SAW) katika moja ya hadithi zake aliainisha tabia kuu tatu za mtu mnafiki.

Kwanza, mtu mnafiki akizungumza husema uongo.

Pili, mtu mnafiki akiahidi hatekelezi

Tatu, mtu mnafiki akiaminiwa hufanya hiyana.

Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetuonesha sifa hizi za mnafiki dhahiri kwenye sakata hili la kuwapokea kwa mbwembwe madiwani waliotoka CCM Monduli.

Madiwani hawa wametoka CCM kufuatia kukatwa jina kwa Waziri mkuu 'mstaafu' Edward Ngoyai Lowassa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya urais kwa kupitia CCM.

Kitendo cha kuwapokea madiwani hawa kwa mbwembwe tena huku pakitumika maneno kama "safari ya matumaini bado inaendelea" ni kitendo cha fedheha sana kwa chama.

Wakati Zitto Kabwe akiondoka/ akiondolewa CHADEMA tuliona wale walioamua kuondoka nae walivyoitwa kila jina baya mitandaoni na hata baadhi ya viongozi walijitokeza kuwakandia waziwazi.

Tumeona namna gani Edward Ngoyai Lowassa alivyotukanwa kila tusi na viongozi wa CHADEMA. Ameitwa mwizi, fisadi, , mnyang'anyi na majina mengine mengi. Na hata wafuasi wake 4u movement tuliona walivyopewa maneno mabaya humu.

Tumeona viongozi wa CHADEMA wakiponda tabia ya kupokea wanachama waliokimbia vyama kwa sababu ya migogoro ya kimaslahi mara kwa mara.

Kwa hayo machache najiuliza hivi yale maneno ya kuponda watu yalijitokeza sababu walihama CHADEMA? Kumbe kuhama ni kosa lakini kuhamia ni sahihi? Kumbe hawa wafuasi wa Lowassa walikuwa wachafu walipokuwa CCM lakini wakiwa CHADEMA ni wasafi? Hivi mtu akija CHADEMA anasamehewa dhambi??

Tabia ya kuyarudi maneno yenu imekuwa ya kawaida sana lakini kwa hili sasa mmejifedhehesha sana. Miaka michache iliyopita mliwaita CUF kila jina baya mara CCM B, mara vibaraka, mara mas**ga nk lakini baada ya muda mkaungana nao na kuunda UKAWA. Mlimfukuza Kafulila kwa mbwembwe lakini leo mpo nae UKAWA huku mkimsifu.
Sitashangaa kesho mkiungana na ACT ili tu mtimize malengo yenu.

CHADEMA tambueni mlichokifanya ni kitendo cha hovyo mno, mmewaonesha watanzania mlivyo walaghai na opportunist wakubwa. Mmeonesha kila tabia za kinafiki na kizandiki na msivyo na msimamo.

Tabia kama hizi zitawafanya ikulu muisikie redioni tu na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura kumbe mnajihujumu wenyewe.

Yani wewe utafikiri hauishi dunia hii ya propaganda za ccm bana? Mbona wanachama wengi wa CDM wanahama na mnawapokea kwa mbwembwe zote mkisaidiwa na TBC1 hata leo mmewapokea kwa kusheherekea!! Sasa CDM wakiwapokea wavua gamba ndiyo nogwa?? wakifika CDM wanakiri wamekua wakila rushwa na wanaomba msahama na tunawasamehe kwa sababu hata mungu anasamehe. UPO MKUU?
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom