CHADEMA kila kitu mnapinga hadi Harmonize Kutoka WCB mmeshaanza Kupinga kwanini?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,958
28,438
Wakuu
Hapa Tanzania kuna watu wasiojulikana na watu wasioeleweka hawa CHADEMA hawaeleweki kila kitu ni kupinga tu sasa wameshaanza kumchulia mtoto wa watu kua ataanguka kimuziki kisa kaimba nyimbo ya kumsifia Rais.

Sasa ninyi CHADEMA hii akili ya kupinga kila kitu mmeitoa wapi hasa hasa?

Jirekebisheni sio mnapinga kila kitu hadi mambo ya watoto wa jana kama hao tena mtoto mwenyewe mwanakijiji wa Mtwara maskini anatafuta riziki yake kwa jasho.
 
Wakuu
Hapa Tanzania kuna watu wasiojulikana na watu wasioeleweka hawa chadema hawaeleweki kila kitu ni kupinga tu sasa wameshaanza kumchulia mtoto wa watu kua ataanguka kimuziki kisa kaimba nyimbo ya kumsifia Raisi.
Sasa ninyi chadema hii akili ya kupinga kila kitu mmeitoa wapi hasa hasa?
Jirekebisheni sio mnapinga kila kitu hadi mambo ya watoto wa jana kama hao tena mtoto mwenyewe mwanakijiji wa mtwara maskini anatafuta riziki yake kwa jasho.
Kisa wimbo. Wa kusifu jiwe na juhudi zake. Duuu ata Kama ningekuwa Mimi ni wao aaaahaa lazima
 
Kwani kuna mtu kakuzuia wewe kusifu..!??
We endelea sifia tu.
 
platnumz amesifu ccm jukwaani mpaka na viuno amekatika,ndio kwaaanza njaa zinazidi kwenu nyinyi cdm.
 
Wakuu
Hapa Tanzania kuna watu wasiojulikana na watu wasioeleweka hawa chadema hawaeleweki kila kitu ni kupinga tu sasa wameshaanza kumchulia mtoto wa watu kua ataanguka kimuziki kisa kaimba nyimbo ya kumsifia Raisi.
Sasa ninyi chadema hii akili ya kupinga kila kitu mmeitoa wapi hasa hasa?
Jirekebisheni sio mnapinga kila kitu hadi mambo ya watoto wa jana kama hao tena mtoto mwenyewe mwanakijiji wa mtwara maskini anatafuta riziki yake kwa jasho.
CHADEMA ndo kina nani
 
CCM ndio inahangaika na Wasanii
 
Back
Top Bottom