CHADEMA, Kikulacho kiko nguoni mwako

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Kuna methali isemayo,"Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji"
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo umaarufu wa CHADEMA unavyoongezeka na kwa ukweli mkiendelea hivyo mwaweza kuwa chama mbadala cha kushika dola hivi karibuni.

Wasiwasi wangu ni wanachama wapya mnaowapokea na kuwapa position kwenye chama.
Kwa kuwa CHADEMA kinakua kwa kasi, mtapata wanachama ambao lengo lao si mageuzi kama sera zenu zinavyodai bali ni kutafuta kimbilio la maslahi yao na ubinafsi wao pindi CCM itakapokuwa imeanguka rasmi.

Kuweni waangalifu na wakimbizi wa kisiasa, wengine siyo wazuri, watageuza chama chenu kuwa chama cha mafisadi na wababaishaji kama ilivyo CCM.

Aidha ninawashauri muwe tayari kumuadabisha mtu yeyote bila kujali position yake ktk chama pale anapokengeuka na kuacha misingi ya chama, mkifanya hivyo mtaondoa dhana ya kulindana inayokivunja CCM na mtajijengea imani zaidi kwa wanachi na mwanachama yeyote anayejiunga atajua kuwa ninyi siyo chama kingine cha siasa bali chama cha wawajibikaji.

Nawasilisha!
 
Ni kweli chama kinapokuwa mapandikizi huwa ni mengi ili kuweza kupata nyeti na kupanga mipango ya kuvuruga chama. Hilo ni angalizo zuri sana, lakini kwa taarifa yako CDM ipo vizuri kwenye upande wa habari.
 
Umesema kweli tupu mkuu lazima kuwa makini na wakimizi wa siasa hasa za magamba
 
nice one!nadhani kuna watu hata wakiomba uanachama inapaswa kuwakatalia.sijui katiba inasemaje abt that,bt it is a necessary evil!
 
Kuna methali isemayo,"Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji"
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo umaarufu wa CHADEMA unavyoongezeka na kwa ukweli mkiendelea hivyo mwaweza kuwa chama mbadala cha kushika dola hivi karibuni.

Wasiwasi wangu ni wanachama wapya mnaowapokea na kuwapa position kwenye chama.
Kwa kuwa CHADEMA kinakua kwa kasi, mtapata wanachama ambao lengo lao si mageuzi kama sera zenu zinavyodai bali ni kutafuta kimbilio la maslahi yao na ubinafsi wao pindi CCM itakapokuwa imeanguka rasmi.

Kuweni waangalifu na wakimbizi wa kisiasa, wengine siyo wazuri, watageuza chama chenu kuwa chama cha mafisadi na wababaishaji kama ilivyo CCM.

Aidha ninawashauri muwe tayari kumuadabisha mtu yeyote bila kujali position yake ktk chama pale anapokengeuka na kuacha misingi ya chama, mkifanya hivyo mtaondoa dhana ya kulindana inayokivunja CCM na mtajijengea imani zaidi kwa wanachi na mwanachama yeyote anayejiunga atajua kuwa ninyi siyo chama kingine cha siasa bali chama cha wawajibikaji.

Nawasilisha!

Nakupongeza kwa ushauri wako. Natazamisha kuwa matazamio ya wananchi kwa CDM na anguko la CCM zina msingi mmoja tu MFUMO. Mfumo wa CCM ni wa kurithiana na kujuana si kwa taratibu za chama mfano familia ya Makamba:- Januari, yule wa vodacom, Tambwe hiza, Mary Chatanda na BMW ya JK; Rost tam, Lowassa na washikaji kibao. CDM ni mfumo wa chama ndiyo unajidhiti siyo mtu.

Hata hivyo ni kweli unaweza kuvamiwa na mamluki ni matumaini yangu mfumo wa CDM una uthibiti endelevu
 
Kuna methali isemayo,"Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji"
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo umaarufu wa CHADEMA unavyoongezeka na kwa ukweli mkiendelea hivyo mwaweza kuwa chama mbadala cha kushika dola hivi karibuni.

Wasiwasi wangu ni wanachama wapya mnaowapokea na kuwapa position kwenye chama.
Kwa kuwa CHADEMA kinakua kwa kasi, mtapata wanachama ambao lengo lao si mageuzi kama sera zenu zinavyodai bali ni kutafuta kimbilio la maslahi yao na ubinafsi wao pindi CCM itakapokuwa imeanguka rasmi.

Kuweni waangalifu na wakimbizi wa kisiasa, wengine siyo wazuri, watageuza chama chenu kuwa chama cha mafisadi na wababaishaji kama ilivyo CCM.

Aidha ninawashauri muwe tayari kumuadabisha mtu yeyote bila kujali position yake ktk chama pale anapokengeuka na kuacha misingi ya chama, mkifanya hivyo mtaondoa dhana ya kulindana inayokivunja CCM na mtajijengea imani zaidi kwa wanachi na mwanachama yeyote anayejiunga atajua kuwa ninyi siyo chama kingine cha siasa bali chama cha wawajibikaji.

Nawasilisha

Ahsante kwa tahadhari yako ndugu. Kila palipo na maendeleo wa2 kama hao huwa hawakosi, wapenda mabadiliko 2nakiombea maendeleo mazri

WE NEED CHANGESSSSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

TANZANIA WITHOUT CCM IT CAN BE
 
Mkuu! Naunga hoja Mkono kbs! Na bila shaka nami nasisitiza hoja ifanyiwe kazi kama ilivyoangusha thread yenyewe na bila shaka tutashila hatamu Kitaifa.
 
Back
Top Bottom