CHADEMA: Kikao cha Kamati kuu CHADEMA siku ya Pili

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Kamati kuu ya CHADEMA leo May 10 2020, ikiwa ni siku ya pili mfululizo imeendelea na vikao vyake vya kidigitali ikiongonzwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, ambapo inapokea taarifa na kujadili kwa kina agenda mbalimbali ikiwemo hali ya janga la corona na hali ya Siasa nchini.

"Kufanyika kwa vikao vya kamati kuu CHADEMA kwa siku ya pili leo kwa njia ya Mtandao, tunatekeleza kwa vitendo, ushauri ambao Chama kimekuwa kikitoa kwa Serikali na Bunge kuchukua tahadhari ya kupunguza mikusanyiko katika kuendesha shughuri zake, ili kujikinga na corona, maazimio yatakayofikiwa yatatolewa baada ya vikao kumalizika"-- Tumaini Makene, Mkuu wa idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA
FB_IMG_15891283190047179.jpg
 
Hamna kikao hapo. Sanaa tupu!
Unakataa technolojia na uko kwenye keyboard unatumia tech hiyo hiyo?
By the way, mwambie jamaa atoke huko aliko anyakuliwe! Hawezi kuja mjini anajua mziki wa coronavirus kwenye moyo wenye pacemaker!
 
Kamati kuu ya CHADEMA leo May 10 2020, ikiwa ni siku ya pili mfululizo imeendelea na vikao vyake vya kidigitali ikiongonzwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, ambapo inapokea taarifa na kujadili kwa kina agenda mbalimbali ikiwemo hali ya janga la corona na hali ya Siasa nchini.

"Kufanyika kwa vikao vya kamati kuu CHADEMA kwa siku ya pili leo kwa njia ya Mtandao, tunatekeleza kwa vitendo, ushauri ambao Chama kimekuwa kikitoa kwa Serikali na Bunge kuchukua tahadhari ya kupunguza mikusanyiko katika kuendesha shughuri zake, ili kujikinga na corona, maazimio yatakayofikiwa yatatolewa baada ya vikao kumalizika"-- Tumaini Makene, Mkuu wa idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMAView attachment 1446082
Chattle wameshindwa SADC na SA wameshachukua hatamu kweli tupo na uongozi mbovu!
 
Back
Top Bottom