CHADEMA, kesho hatutaki kusikia eti kuna 'ngome' yenu imevamiwa

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Tabia ya mikutano na ngome za CHADEMA kuvamiwa na vijana wa Green Guard haijaanza leo ni ya muda mrefu inatokea hasa kipindi cha chaguzi mbalimbali. Kama Chadema hamjifunzi kutokana na makosa yaliyopita basi hamfai kuendelea kuongoza vita ya ukombozi tuwape CUF usukani.

Hii picha inanikumbusha jinsi CUF wanavyoweza kujilinda pindi wanapovamiwa na adui.
image.jpeg

Mnajua mko vitani adui yenu anafahamika na mnazijua mbinu zake, vile vile mnafahamu kuwa jeshi la polisi halina msaada kwenu, kwanini msijiandae kupambana naye kwa hali yeyote ile? na kama ni kesi mkutane naye mahakamani?

Picha hii inaonyesha jinsi Chadema wanavyoweza kuji selfie pindi wanapojeruhiwa.
IMG_20171125_155530.jpg

Mkiendelea kuwa mazoba watawaumizeni wote na msitarajie eti kuna siku serikali au rais ama mtu yeyote atawaonea huruma achilia mbali kukemea, LAKINI siku moja mtu mmoja akajitolea mkamtolea mwana Green Guard mmoja 'advertise' ya nguvu next time watakuwa wanajiuliza kabla ya kuwavamia.

Tunataka kusikia na wao wamepelekwa hospitali kutibiwa majeraha sio kila siku nyie tu, angalau tusikie mkisema tulipambana nao wakatuzidi nguvu, LA kama mnaona hamuwezi au mnaogopa kukabiriana nao rudini majumbani mwenu mkalale, kelele za kusema tumeumizwa ziishe, mkiendelea hivyo mwisho mtatufanya tuseme kuliko kuwaacheni na ngeu wangewaua kabisa.

Naimiss BAVICHA ya John Heche.
 
Tabia ya mikutano na ngome za CHADEMA kuvamiwa na vijana wa Green Guard haijaanza leo ni ya muda mrefu inatokea hasa kipindi cha chaguzi mbalimbali. Kama Chadema hamjifunzi kutokana na makosa yaliyopita basi hamfai kuendelea kuongoza vita ya ukombozi tuwape CUF usukani.

Hii picha inanikumbusha jinsi CUF wanavyoweza kujilinda pindi wanapovamiwa.
View attachment 637594

Mnajua mko vitani adui yenu anafahamika na mnazijua mbinu zake, vile vile mnafahamu kuwa jeshi la polisi halina msaada kwenu, kwanini msijiandae kupambana naye kwa hali yeyote ile? na kama ni kesi mkutane naye mahakamani?

Mkiendelea kuwa mazoba watawaumizeni wote na msitarajie eti kuna siku serikali au rais ama mtu yeyote atawaonea huruma achilia mbali kukemea, LAKINI siku moja mtu mmoja akajitolea mkamtolea mwana Green Guard mmoja 'advertise' ya nguvu next time watakuwa wanajiuliza kabla ya kuwavamia.

Tunataka kusikia na wao wamepelekwa hospitali kutibiwa majeraha sio kila siku nyie tu, angalau tusikie mkisema tulipambana nao wakatuzidi nguvu, LA kama mnaona hamuwezi au mnaogopa kukabiriana nao rudini majumbani mwenu mkalale, kelele za kusema tumeumizwa ziishe, mkiendelea hivyo mwisho mtatufanya tuseme kuliko kuwaacheni na ngeu wangewaua kabisa.

Naimiss BAVICHA ya John Heche.
Mimi naona ww
Daah[/QUOTE
Mimi naona wewe unaeongea na kujifanya kocha wa kuelekeza wenzako kupambana wakati wewe umejificha kama james delicious ndio inabidi uje kwenye uwanja wa hayo mapambano unayoyashauri kuliko kuelekeza wenzako wapambane huku wewe ukiwa umeshinda na khanga moja nyumbani kwako.Siasa sio vita wala mapambano wewe tangaza sera zieleweke itakua poa tu
 
Ukweli kwa upole wa Chadema saiv hata mimi wananitia wasiwasi.Red Brigade wanakubalije hao mashoga wa green sijui nini wavuruge mikutano yao?Hata kama mbatizaji yuko upande wao,wakianzisha fujo kamateni pigeni hata ikiwezekana watoeni macho kabisa mafisi hao wa kijani.Wameshafanya nchi yao mandezi sana hawa mashoga.Nchi ni yetu sote na siyo ya kwao.
 
Mimi naona wewe unaeongea na kujifanya kocha wa kuelekeza wenzako kupambana wakati wewe umejificha kama james delicious ndio inabidi uje kwenye uwanja wa hayo mapambano unayoyashauri kuliko kuelekeza wenzako wapambane huku wewe ukiwa umeshinda na khanga moja nyumbani kwako.Siasa sio vita wala mapambano wewe tangaza sera zieleweke itakua poa tu
Kama unajua siasa sio vita waambie kwanza CCM kuliko kumwambia anayetafuta mbinu za kujitetea.
 
Huyu ni wakala Amejeruhiwa hivi punde na chumba Alichokua Akisimamia Amebaki wakala wa ccm pekee..
FB_IMG_1511685495909.jpg
 
Back
Top Bottom