CHADEMA katika kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA katika kampeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Oct 12, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hAKUNA ALIYEONGWA MAFUTA YA GARI,PIKIPIKI,KHANGA,KOFIA,CHUPI,CHUMVI ,tZS5000,NA UJINGA WAO WOOOTE. CHADEMAAAAAAAAAA!
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ndugu inawezekana kabisa hata huelewi Slaa ni mtu wa aina gani ,yaani inashangaza kuona mtu anaunga mkono ,japo anaeungwa mkono ana matatizo ambayo yapo wazi ,imehojiwa kuwa Slaa ameshindwa ndani ya chama chake na anachokifanya ni kutumia nguvu na kuwaweka watu wa ukoo wake karibi ,yaani amezunguukwa na jamaa zake ,analolitaka ndilo lifanywalo ,sasa mtu kama huyo akipata Uraisi si atajijengea himaya' nasema kuweni macho let us compare our wagombea from the inner circle of their mazingira ,and not let propaganda drown you ,kuweni watu yakinifu na wenye msimamo ,narudia tena hivi wasomi wa kweli mliopo Jf mnatuchagulia Slaa awe ndio Raisi ,tuseme mngependa yeye awe ndie Raisi ,wasomi kazi kwenu ? No Jazba pleaze !
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Poor you? na hii inafutwa sasa hivi!!
   
 5. m

  mbea Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwiba angalia kuna ban ya 10 inakuja,isije ikawa yako!

  Jamani natania mie ndio kwanza naanza kutambaa.
   
 6. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135


  Hao jamaa zake ni akina nani na wana wadhifa gani? Wataje kwa majina ili hoja yako iwe na nguvu. La sivyo ni upuuzi kama ule ule unaoenezwa na ndugu zako wa CCM kwamba kuna mgombea anataka kumwaga damu. It's time you stopped this nonsense.
   
 7. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ukichunguza vizuri katika picha, wengi ni wapiga kura wapya!!
  Kati ya 18yrs na 35 years. Hapa ndio CCM wanapochanganyikiwa!!! VOTE CHADEMA INN
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe Dr Slaa ana chama chake?

  Hivi CHAMA CHA Dr. Slaa (mali yake) ni kipi hasa hapa Tanzania?

  Mie nilidhani yuko CHADEMA ambako siku za nyuma walikuwa wakisema ni cha WACHAGA, yaani cha Mbowe na Baba Mkwe wake. Sasa huyu Dr Slaa mtu wa Karatu kumbe na yeye ni MCHAGA SIYO? Tena kutoka familia ya MBOWE aaaahhhhh Mtei samahani na kajaza ndugu zake wengi tu Wachaga kama Zitto Kabwe (nasikia baba yake anatoka Kahe).

  Safi sana Mwiba kwa uchambuzi wako. Kweli wee ni Great Thinker mkuu wangu. Heshima kwa mbele saana.
   
 9. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tafadhali, linganisha namna Kikwete alivyokibinafsisha chama cha CCM kwa familia yake. Je nani ni bora kati ya Slaa na Kikwete? Au wewe hujaona kwamba CCM sasa ni ya mama Salama, Miraji, Riziwani na Mrisho?

  Ndio maana watanzania wamekuwa kama watu waliochomwa mwiba miguuni mwao, maisha yanashindikana, ni magumu na umaskini unaongezeka zaidi. Slaa anataka kuchomoa mwiba huo, ili watu waweze kuwa huru na kufurahia matunda ya raslimali za nchi yao. Ndio maana wote wanamgeukia Slaa...kama wewe bado upo kwa Riziwani, Miraji, Mrisho na Salma, huenda kuna faida unayoambulia. Endelea na wala usiache kumpigia kura Kikwete, lakini mimi na nyumba yangu, na majirani zangu 13 tumeamua wote, kumpa Dr Slaa kura za ndio, ili aongoze Tanzania. Kwaheri CCM, kwaheri Mwiba....
   
 10. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,501
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Mwiba mbona unatoa kwa uchungu hivyo. Inaelekea ushaziona dalili za mvua sasa. Pole ulichelewa kusoma alama za nyakati. Eti atajijengea himaya??? Anayeteka kujijengea himaya si waTZ wote washamuona, amesahau chama chake, mgombea mwenza na sasa ni yeu=ye tu na familia yake.............!! Kama wewe ndiyo unaona anafaa , mchague peke yako.....Sisi wenzako HATUDANGANYIKI...............!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...