Chadema katika chaguzi ndogo

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,650
Hapa chini ni hotuba ya Mh Mbowe, M/kiti wa CHADEMA kwenye kampeni za chaguzi ndogo.

Najiuliza tu, kama yaliyomo kwenye hotuba hii, yanawakilisha ilani ya chama iliyokuwa na kaulimbiu ya Ni Wakati wa Mabadiliko Kuondoa Umaskini Chagua Chadema, au ni majigambo, shutuma, na lawama?

Najiuliza tena, huyu Mh Mbowe akipewa madaraka kuiongoza nchi, hatutashuhudia kulipizana visasi?

Je, kuondoa umaskini ni kwa kufitinishana majukwaani au kuhubiri umoja kila unapopata nafasi ya kupanda jukwaani, kuongea na wapiga kura?

Kama M/kiti wa chama kikuu cha upinzani, Mh Mbowe, hiyo ndiyo siasa yake ya jukwaani, na ujumbe kwa wapiga kura ni huo, usio na ushahidi ila mihemko ya kiuhanarahati?

TUNA SAFARI NDEFU KUFIKIA UPINZANI WA KWELI Tanzania.

NI YANGU MAWAZO KUHUSU HATIMA YA TANZANIA YETU.
 
Tz hakuna upinzani kuna genge la watu wanaolalamika tu bila wao kujitazama wapoje.Wenye akili wote hawana imani na upinzani huu wa kibongo
 
Hapa chini ni hotuba ya Mh Mbowe, M/kiti wa CHADEMA kwenye kampeni za chaguzi ndogo.

Najiuliza tu, kama yaliyomo kwenye hotuba hii, yanawakilisha ilani ya chama iliyokuwa na kaulimbiu ya Ni Wakati wa Mabadiliko Kuondoa Umaskini Chagua Chadema, au ni majigambo, shutuma, na lawama?

Najiuliza tena, huyu Mh Mbowe akipewa madaraka kuiongoza nchi, hatutashuhudia kulipizana visasi?

Je, kuondoa umaskini ni kwa kufitinishana majukwaani au kuhubiri umoja kila unapopata nafasi ya kupanda jukwaani, kuongea na wapiga kura?

Kama M/kiti wa chama kikuu cha upinzani, Mh Mbowe, hiyo ndiyo siasa yake ya jukwaani, na ujumbe kwa wapiga kura ni huo, usio na ushahidi ila mihemko ya kiuhanarahati?

TUNA SAFARI NDEFU KUFIKIA UPINZANI WA KWELI Tanzania.

NI YANGU MAWAZO KUHUSU HATIMA YA TANZANIA YETU.

Mtu wa visasi ni yule mzee wa isidingo aka mzee wa kiki aka mzee wa yuman fes aka bwana ake bashite aka mzee makinikia aka mzee wa kukurupuka aka...
 
Back
Top Bottom