CHADEMA kateni rufaa mahakama kuu kesi ya umeya Kinondoni

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
338
Hakika pamoja Na umbumbumbu wangu wa mambo ya Sheria mchakato mzima wa kumchagua Meya wa Kinondoni haukuwa sahihi.

Niliamini mamlaka za Serikali ya Mitaa TAMISEMI wangeingilia kati uchaguzi ule lakini waliridhika na ule uchaguzi.

Jana Mahakama ya Kisutu nayo imeridhika Na mchakato mzima wa uchaguzi Na kumtambua Bw.Sitta kuwa meya halali.

Naushauri uongozi wa CHADEMA kukata Rufaa Mahakama Kuu ili haki itendeke.
 
Back
Top Bottom