CHADEMA Kasulu kupasuka

Niombe niwashauli CHADEMA wawe makini siasa zimebadilika sana, Kasulu chadema ilikuwa imekaa sawa ila Jimbo la Kasulu wakiwemo viongoza wa mkoa wanavurugana, Mwenyekiti wa jimbo la Kasulu ndugu Ntahindwa pamoja na mwenyekiti Ndugu Rajabu Bujoro wanadai kumfukuza katibu wao nakutokumtambua ndugu kwasa kwasa , zaidi anadaiwa kukivuruga chama hicho na wakamfukuza hivyo baada ya viongozi wake kumfukuza mkoa wamemkumbatia jambo ambalo limepelekea Viongozi hao wanaompinga kupanga na kuahidi muda wowote kuhamia ccm kwa madai yakushindwa kukaa penye migogoro.

Najuzi katibu Mkuu tz bara mashinji ametoka na ameukuta mgogoro huo akiwa na mwenyekiti was vijana taifa na wawerudi bila kuumalzia jambo litkaloharibu chma baada ya watu hao kuhamia CCM.

Nb:Chadema tujifunze kutatua migogoro yetu bila uathili chama
Waondoke waende ccm haraka wanamtisha nan wajinga nn.
 
Any moment if we have a good candidate.

Any prospect so far?

I mean, 2020 is around, CCM have already unveiled theirs expected candidates, atleast by implication.

Do you think you have one in particular who have muscles to battle against CCM?
 
I think yes, if at all CCM will select one who I think you are referring to, yes. If at all the NEC was free, CCM's candidate wouldn't been a problem.
 
Nimekaa nyarugusu congoleses refugees camp 2yrs sijui hata lugha ya kiha zaidi ya mwakeye, Marae mi mpita njia tu hiyo Ni kinusi tofauti na yako Ila nimezurula kimtindo kasulu, lalambe, titye, nyenge, rusesa, manyovu, heru juu, tuseme vijiji vyote heru hushingo, muzenze, kigadye, kitambuka, Burundi na wilaya zake, uvinza, katoto, murufiti, kabanga na Hadi kwa fr. Theo eng Ni shida tu ndo zinafanya tuzurule kila kona
Hupenda kujifunza lugha ya kiha, it wasn't in your priorities, kwa kuwa uliidharau. Hata miye nimekaa Rombo, Kibosho na Marangu, sijui hata kusalimia kichagga. Sikwenda kwa ajili ya lugha. I had my purpose. Don't be surprised, ulifanikiwa ulichoenda kufanya, hakikutrgemea Kiha.
 
I think yes, if at all CCM will select one who I think you are referring to, yes. If at all the NEC was free, CCM's candidate wouldn't been a problem.

Knowing that NEC is not independent, are you still planning to make a run?

Don't you see that it's as good as playing a game whose referees, play ground, match officials and all the facilities belong to your opponent. So you better preserve the resources you would use to a match you know the results won't favor you.
 
It is a sin of abuse not to contest (even when you know how hard the struggle is), in this situation you will depend on spectators, you play well and right and spectators will back you up, and change the course of action for the unjust leaders will grant you your reward.
 
Got your point man, we have a long journey to go.
 
Hupenda kujifunza lugha ya kiha, it wasn't in your priorities, kwa kuwa uliidharau. Hata miye nimekaa Rombo, Kibosho na Marangu, sijui hata kusalimia kichagga. Sikwenda kwa ajili ya lugha. I had my purpose. Don't be surprised, ulifanikiwa ulichoenda kufanya, hakikutrgemea Kiha.
Nyarugusu Ni ki Congo na kiswahili kimtindo
 
Huu ndio ugonjwa wenu hata mkisoma na kutembea? Kwanini huwa hamjiamini na kuhisi kudharauliwa? Hapo hakuna aliekudharau umejidharau mwenyewe.
Hupenda kujifunza lugha ya kiha, it wasn't in your priorities, kwa kuwa uliidharau. Hata miye nimekaa Rombo, Kibosho na Marangu, sijui hata kusalimia kichagga. Sikwenda kwa ajili ya lugha. I had my purpose. Don't be surprised, ulifanikiwa ulichoenda kufanya, hakikutrgemea Kiha.
 
Huu ndio ugonjwa wenu hata mkisoma na kutembea? Kwanini huwa hamjiamini na kuhisi kudharauliwa? Hapo hakuna aliekudharau umejidharau mwenyewe.
Pole nadhani utambuzi ni kazi kweli kweli, ndiyo maana walimu wanapata kazi sana. Kwa taarifa, sisi hatujidharau, kama kweli uliishi Kasulu, ni katika watanzania tunaojitambua, very industrious people, tunaopenda maendeleo yetu na familia zetu.
 
Back
Top Bottom