chadema karatu washangilia na nguo za ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema karatu washangilia na nguo za ccm

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kitalolo, Nov 2, 2010.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  baada ya matokeo ya kulibakiza jimbo la karatu wafuasi wa chadema walijitokeza kila kona kushangilia ushindi huo lakini cha ajabu walikuwa na bendera na wengine wamevaa mavazi ya ccm zikiwemo kofia tshart kanga na fulana mambo yalikuwa yalikuwa yakushanga kweli kweli baadhi ya wageni na wapita njia walisha kuelewa nani kashinda na kulitokea mkanganyiko wa hali ya juu maana kwahakika kwa tuliokuwa tunafwatilia mwenendo wa matokeo na hata hitimosho tulitua kuwa chadema wamebakiza jimbo lakini hali iliyokuwa kwenye mitaa ilikuwa ni tofauti kama nilivyoeleza kuwauliza baadhi ya washangiliaji walisema kuwa wanafanya hivyo kuishikisha adabu sisiemu eti kwamba waliwahonga mavazi pesa na pombe walipokea lakini kura wakawanyima hivyo walitaka kuwakumbusha kuwa hayo hayakuwa mahitaji yao maana ila walichotaka ni ushindi wa chama na mtu anayeweza kusimamia maslai yao na kuwaletea maendeleo ya kwli sio ahadi , wengine walisema kulikuwa na shinikizo pamoja na mateso unyanyasaji mkubwa wakati wa kampeni uliofanya na sisiemu kwa wanachadema hivyo walilazimika kujivisha mavazi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu hivyo alifanya hivyo kama zihaka .

  wanajamii hii imekaaje?
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  yale maTshirt ya ccm ni mavazi tu, hayaleti mantiki yoyote katika Ideology, wanavaa kama nguo zingine zilizoandikwa i love New York wakati yeye mwenyewe ni mkazi wa Naliendele.

  ccm wanagawa tu nguo hizo kama Rushwa.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mbona imekaa poa tu, ni fundisho kuwa msaada si maendeleo na kuwadanganya watu kwa nguo si sawa na kuwaona wajinga kupindukia. Bunge jipya litakuwaje sijui!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamaa wana akili wanaogopa FFU si unajua CCM huwa wanaombwa hawapigwi
   
 5. k

  king ndeshi Senior Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  KWENYEVIDEO CLIP MOJA PALE KAWE BAADA YA MDEE KUTANGAZWA MSHINDI,KUNA MWANA ALIKUWA ANAFUTA GARI LA HALIMA NA NGUO YA CCM,NAZANI NI MAVAZI MAZURI YA KUFANYIA USAFI,KUFUTIA VIOO KUCHAMBIA WALEVI NA KUDEKIA. :smile-big:
   
 6. HIMO ONE

  HIMO ONE Senior Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamewawahisha sana walitakiwa waendelee kuchukua vitu vyao mpaka 2020 ambapo nahisi ccm watahomga magari ya kijani
   
Loading...