Chadema: Kampeni za Udiwani Arusha Leo

Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,786
1,710
Tafadhalini mliopo Arusha mtujuze nini kinaendelea katika kampeni za udiwani Arusha.

Tuleteeni ni nani yuko wapi na anasema nini, na mwitikio wa wananchi.
 
Nyie Bavicha mbona hamtupii picha tuone huo wingi wa watu mikutanoni. Bg ccm kwa kutupia picha za kampeni zenu.
 
Arusha Cdm maji yamezidi unga hadi lema vikao zaidi ya kumi hajaenda bungeni wary wamewastukia Kama magumashi
 
Kaloleni nina mashaka nayo saana. CDM ongezeni mikakati.

Huyu Jamaa wa CUF Bwana DARWESH ni maarufu sana Kaloleni na pia anapiga kampeni za nyumba kwa nyumba. Pale atazoa kura kadhaa.

Pia CCM nao wanatumia mabalozi wa nyumba kumi kumi.

So Chukua kura za CUF na CCM - jumlisha zinaweza kuzidi za CDM. Na Mshindi ni wa CCM.

So CDM work hard, ongezeni Juhudi maaana, kuna strategy nyingi sana kaloleni.
 
Kaloleni nina mashaka nayo saana. CDM ongezeni mikakati.

So Chukua kura za CUF na CCM - jumlisha zinaweza kuzidi za CDM. Na Mshindi ni wa CCM.
Kwani CUF na CCM wamesimamisha mgombea mmoja, poor analysis.
 
Back
Top Bottom