CHADEMA kama Yanga wakati CCM kama Simba 2015!!

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,100
1,195
Wadau,
Kwa hali ya mambo inavyokwenda uchaguzi wa mwaka 2015 utakuwa kama mpira wa juzi wa Simba na Yanga. Ambapo Yanga walichezea kichapo cha haja.

Chadema bado kuna matatizo mengi ambayo hayajapatiwa ufumbuzi wa kutosha. Mfano safu ya Viongozi bado haiko vizuri, hakuna uchaguzi wa ndani, matumizi mabovu ya Fedha ndani ya chama.

Mabadiliko yanahitajika sasa, na tuanze sasa kuyafanya.
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,539
2,000

Hata Rangi za Vyama na za Timu zinapingana na unachoongea.

Ungesema Chadema kama Simba na CCM kama Yanga!!
 
kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,259
2,000
Wadau,
Kwa hali ya mambo inavyokwenda uchaguzi wa mwaka 2015 utakuwa kama mpira wa juzi wa Simba na Yanga. Ambapo Yanga walichezea kichapo cha haja.

Chadema bado kuna matatizo mengi ambayo hayajapatiwa ufumbuzi wa kutosha. Mfano safu ya Viongozi bado haiko vizuri, hakuna uchaguzi wa ndani, matumizi mabovu ya Fedha ndani ya chama.

Mabadiliko yanahitajika sasa, na tuanze sasa kuyafanya.

Kwa hiyo hii post ni ya siasa au michezo? Unaleta ukakasi kwa wasomaji.
 
Balozi wa Dodoma

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
477
225
Siku nyingine ficha ukakasi wako uko kwenu

izi pumba ukawape nguruwe ,wale wanenepe

siasa na mpira wapi na wapi?
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,542
2,000
Wadau,
Kwa hali ya mambo inavyokwenda uchaguzi wa mwaka 2015 utakuwa kama mpira wa juzi wa Simba na Yanga. Ambapo Yanga walichezea kichapo cha haja.

Chadema bado kuna matatizo mengi ambayo hayajapatiwa ufumbuzi wa kutosha. Mfano safu ya Viongozi bado haiko vizuri, hakuna uchaguzi wa ndani, matumizi mabovu ya Fedha ndani ya chama.

Mabadiliko yanahitajika sasa, na tuanze sasa kuyafanya.

kwanza nakataa mifano uloitumia.
Pili nakusahihisha, ungeandika, "matatizo ya cdm yatafutiwe suluhu ya haraka" ungeeleweka vyema.
Mtifuano wowote kweny oganization yoyote ni dalili za kuwepo afya katika oganization hiyo. Na any change bring challenges.
Mlio wengi mnaogopa mabadiliko ambayo kwangu huleta uimara. Tukubaliane nayo na kisha mvute subira kwani 2015 si mbali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom