LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
lema apigwa marufuku kukanyaga arumeru kwa kufanya vurugu kwenye mazishi ya sumari
Kuwa makini kbl ya kuja humu jamvini na kudanganya jamii!
Mafisadi at work!
lema apigwa marufuku kukanyaga arumeru kwa kufanya vurugu kwenye mazishi ya sumari
Mkuu, nafikiri swala la msingi hapa ni kujipanga kwa ajili ya kumkabili huyu bwana. Kumbuka CCM ina jambo moja, nalo ni kwamba, lazima ishinde no matter what, hata kwa cost kubwa kiasi gani katika chagyzi ndogo.Jamani kama ni Mbinu nzuri kwanini msiige? Kama kweli anagawa rushwa muandalieni mtego akamatwe na takukuru kuliko kupiga makerere bure, siku hizi hata watu wanatembea na vitabu vya Dini wakiwakuta watu wanawahubiria habari njema kisha nyumba za ibada zinajaa.
Utakuwa uko au umetoka chooni halafu hujajitawaza vizuri ndiyo maana una kurupuka tu.....
Pictures speak by themselves!Haukuweza kujua walikuwa wakiongea/kupanga mikakati gani?? It seems ulikuwa karibu kabisa na kila neno ulifuatilia!
Upo sawa kabisa. Igunga nilikuwepo alitoa hadi laki moja kwa kila kijiwe cha vijana. Chadema meru kuweni makini sana na huyu ***** wa kutegemea rushwa.
Naona Chadema wameanza kulalamika hata kampeni bado hizo ni dalili za kushindwa.
Ndo maana kukawa na kitu kinaitwa sheria, kanuni na taratibu.Naona Chadema wameanza kulalamika hata kampeni bado hizo ni dalili za kushindwa.
Nyoka hata akiwa mmoja si wa kumfanyia mzaha hata kidogo....Yaani Makamanda wote wa Chadema mnamuogopa huyu jamaa?
Huyu ana sumu kuliko ile ya Black Mamba!Huyu ni wakufuatilia kila mahali anapotoka tuu hotelini