CHADEMA kama honeybadger kwa nyoka, na machine za catapiller kwa mlima

Utawapenda bure kwa jinsi wanavyomwacha nyoka agonge wewe haalafu wana mla kuanzia mkiani...sasa wameshambulia wametumia polisi. Na wameenda ktk bunge na kila mahali kupiga propaganda.CDM wakawapa kubwa kuw ani wao na polisi.CCM wakdhani utani wakaanza pika habari kwa papara..sasa wameambiwa kuwa walirecodiwa kwa mitambo maalum ..Nyoka kilio kimeana.

No matter how poisonous CCM becomes,CDM will always take CCM for lunch,dinner or breakfast.
 
Sikushangaa sana kumsikia mheshimiwa mzee 6 akionyesha jinsi gani haijui CHADEMA wala wanyama wadogo lakini hatari sana.Huku kunaweza onyesha jinsi si yeye tuu ila CCM nzima wasivyoijua CHADEMA.

Hawajajifunza hata kwa kuona wabunge wake ni wadogo sana kimaumbile na kiumri ila hawana hofu ya ku-take on anybody in the CCM and the government. Mnyika kasimama ni kusema yote alioona wazi hayafai kuhusu rais mbele ya bunge lote, kasimama na mwanasheria mkuu bungeni na bado ana nguvu za kufanya kwa yeyote, Lema kasimama hivyo hivyo , Msigwa alisimama na kuongea kwa staili iliyonanyamazisha bunge lote la "..Ndioo na zomezomea.."kwa ujumla alinyamazisha bunge hadi akamaliza kuongea na likawa tulivu kila CHADEMA walipoongea na list inaendelea hivyo hivyo hadi kwa wabunge wasiosikika.Sidhani kama CCM walijifunza sana

Mzee aliona safu yao ndogo kaipuuza na kuiita nyembamba..hakujua wana mziki mkubwa kama "honey badger", wanamtafuna nyoka (nikibandika CCM hapa) bila kumua tena wakianzia mkiani.Na hawamzui kujitetea kwa kung`ata au kutema mate.Mabaharia wanajua kwanini vile vi boat vidogo vitumikavyo kuvuta meli kubwa ktk maeneo ya bandari vinaitwa "Badger".

Nadhani utajua ni kwanini ile task (CUF/NCCR) walishindwa CHADEMA wameweza kama vile caterpillar inavyokata kifusi.Katika misimamo wakishagoma wamegoma,patachimbika, na wakiamua chimbua wanachimbua kama catapillar.

Hizo ni coinsidence tuu ambazo waswahili wanaziita bahati.Ila ni bahati zimkutazo mwajibikaji.Kwani kila kitu sahihi hulengana nacho kwa muda sahihi,kama ulikuwa katika uwajibikaji.Kwa mwajibikaji hakuna njaa.

Its no coincidence watu wa kupenda makundi na ubaguzi hawajaweza tafsiri tabia za CHADEMA.Ila kuwashangaza zaidi napawa somo tuu...katika dialects za wachaga.Tafsrisi yake inahama kati ya "Cha/kya/sha/kya dema .cha ghema" nimegoma/amegoma na Kimelima(kuchiba kwa jembe) au tuwaite "caterpillar".

Kuonyesha jinsi gani CHADEMA ni kama honey badger,wapo active sana. CHADEMA wapo active mwaka mzima.Honey badger si mvivu na kuamka kwake ni kufungua macho na kuondoka.Haogopi simba wala chui, wala nyoka.Ni mshapu na ana makeke ya kweli.Yupo illusive, wanyama wakubwa wakimshika ili wamue ngozi yake imepwaya na hivyo kufanya iwe ngumu kwa mnyama mkubwa kumshika sehemu hatari, na mara washikapo sehemu ya ngozi bado kinabaki na nafasi ya kupambana hadi hata ua mnyama adui na kuondoka.Yaani ngozi hujivuta kama vile defender avutavyo jezi ya forward ya polyster katika mpira.

Nadhani sasa wengi wataelewa kwanini CCM watang`ata sana,watarusha sumu sana ila wataliwa kama nyoka aliwavyo kuanzia mkiani hadi kichwa kifikiwe.

CCM wanaweza jitetea kuwa si dhaifu ila CHADEMA wanawafanya waonekane kuwa dhaifu.
mkuu mama alikuwa amenitengea chakula mezani nikiwa ninasubiri maji ya kunawa mikono nikafungua jamii forum nikaiona thread yako kusema kweli nilikuwa na njaa cha kushangaza nilipoanza kuisoma nilimwambia mama nimeshiba na kweli nilihisi kushiba

ubarikiwe sana
 
Ubarikiwe....ni ktk simple observation tuu utaona...CDM walivyo wachache na chama kikiwa kidogo ila very smart and powerful zaidi ya wanavyofikiri CCM.

Muda wote CCM wanapoteza kushambulia chadema wakati wao wanfanya mambo yao km vile mshambulizi si chama hatari.Ila wao wakianza kwa hotuba tuu CCM wanalia kwa maumivu makali.
 
Taratibu CCM wamekuwa Disabled..mashambulizi yao wamemaliza sasa wanaangalina na CDM imara, na wananchi makini...
 
Chadema walifukuza madiwani CCM wakawekeza sana, wakalepa propaganda kuwa hawana haki ya kufukuza watu waliochaguliwa na wanachi....kwa CDM ilikuwa km Badger kuumwa na nyoka...Sasa nao wamefanya hivyo hivyo..Chadema waking`ata.Na ninawashuri watafune thisi favourity meal, kwa CCM ni Kifo...CDM km badger anaweza amua mle CCM kuanzia wapi mkiani au kichwani..ila akianza kichwani atakosa thrill na starehe ya kula fresh meat.
 
Hizo kata ccm wasahau kabisa kama kweli wamewafukuza madiwani hao, wasitalajie ushindi kamwe

Yaani CDM wakitumia fitna zilezile za CCM,CCM watakufa, wakitumia mbinu zao ndio kabisa CCM wataanza chain reaction ya kubomoka nchi nzima ambapo watu hawakuwa wameng`amu mipango ya akina Ponda,Lipumba, na Lumumba..
 
Sikushangaa sana kumsikia mheshimiwa mzee 6 akionyesha jinsi gani haijui CHADEMA wala wanyama wadogo lakini hatari sana.Huku kunaweza onyesha jinsi si yeye tuu ila CCM nzima wasivyoijua CHADEMA.

Hawajajifunza hata kwa kuona wabunge wake ni wadogo sana kimaumbile na kiumri ila hawana hofu ya ku-take on anybody in the CCM and the government. Mnyika kasimama ni kusema yote alioona wazi hayafai kuhusu rais mbele ya bunge lote, kasimama na mwanasheria mkuu bungeni na bado ana nguvu za kufanya kwa yeyote, Lema kasimama hivyo hivyo , Msigwa alisimama na kuongea kwa staili iliyonanyamazisha bunge lote la "..Ndioo na zomezomea.."kwa ujumla alinyamazisha bunge hadi akamaliza kuongea na likawa tulivu kila CHADEMA walipoongea na list inaendelea hivyo hivyo hadi kwa wabunge wasiosikika.Sidhani kama CCM walijifunza sana

Mzee aliona safu yao ndogo kaipuuza na kuiita nyembamba..hakujua wana mziki mkubwa kama "honey badger", wanamtafuna nyoka (nikibandika CCM hapa) bila kumua tena wakianzia mkiani.Na hawamzui kujitetea kwa kung`ata au kutema mate.Mabaharia wanajua kwanini vile vi boat vidogo vitumikavyo kuvuta meli kubwa ktk maeneo ya bandari vinaitwa "Badger".

Nadhani utajua ni kwanini ile task (CUF/NCCR) walishindwa CHADEMA wameweza kama vile caterpillar inavyokata kifusi.Katika misimamo wakishagoma wamegoma,patachimbika, na wakiamua chimbua wanachimbua kama catapillar.

Hizo ni coinsidence tuu ambazo waswahili wanaziita bahati.Ila ni bahati zimkutazo mwajibikaji.Kwani kila kitu sahihi hulengana nacho kwa muda sahihi,kama ulikuwa katika uwajibikaji.Kwa mwajibikaji hakuna njaa.

Its no coincidence watu wa kupenda makundi na ubaguzi hawajaweza tafsiri tabia za CHADEMA.Ila kuwashangaza zaidi napawa somo tuu...katika dialects za wachaga.Tafsrisi yake inahama kati ya "Cha/kya/sha/kya dema .cha ghema" nimegoma/amegoma na Kimelima(kuchiba kwa jembe) au tuwaite "caterpillar".

Kuonyesha jinsi gani CHADEMA ni kama honey badger,wapo active sana. CHADEMA wapo active mwaka mzima.Honey badger si mvivu na kuamka kwake ni kufungua macho na kuondoka.Haogopi simba wala chui, wala nyoka.Ni mshapu na ana makeke ya kweli.Yupo illusive, wanyama wakubwa wakimshika ili wamue ngozi yake imepwaya na hivyo kufanya iwe ngumu kwa mnyama mkubwa kumshika sehemu hatari, na mara washikapo sehemu ya ngozi bado kinabaki na nafasi ya kupambana hadi hata ua mnyama adui na kuondoka.Yaani ngozi hujivuta kama vile defender avutavyo jezi ya forward ya polyster katika mpira.

Nadhani sasa wengi wataelewa kwanini CCM watang`ata sana,watarusha sumu sana ila wataliwa kama nyoka aliwavyo kuanzia mkiani hadi kichwa kifikiwe.

CCM wanaweza jitetea kuwa si dhaifu ila CHADEMA wanawafanya waonekane kuwa dhaifu.

Sounds good bro!!!
 
The badger is back, soldier katokea katika mkutano tayari tumoil imeanza si serikalini tuu hadi jeshini.tratibu jeshi linapewa nafasi ya kujitathmini na kutumia akili zaidi ya adrenaline.Kujiuliza kama kapotea njia, kapenda mkusanyikowa CDM?kaamua saidia ulinzi wa nchi kwa vile polisi hawakuwepo na kutokuwepo kw apolisi au ushokozi wa polisi unaweza leta hasira nchi nzima na hivyo kuharibu amani ya nchi.Soldier kajitolewa saidia hilo.Ni sehemu ya majukumu ya wanajeshi kusaidia raia pakiwa amani.Wanajeshi wamewahi jiuliza kwanini walitembea dar kipindi cha akina Ponda?Nani kawaambia jeshi linahitajika kuingilia dini?Jeshi zaidi y akupigana vita hawana Watapewa muda wa kupewa majibu na vijana wao wenyewe na si Lema wala dr. wala Mbowe.CHa kunifurahisha tayari CCM wameshaanza toka jasho wanahisi ni DEFECTIONS, sasa hivi memo zitapita nyingi sana.EL atakuwa akijiuliza reputaion yake kam mwenyekiti ,kapigw abao vipi, vijana wana affiliation mbali kabia na uwekezaji wake pale monduli. Its funny Jeshi lilipoingizwa ktk majaribio, sasa kauli zao ndizo zitaamsha fikra za vijana ktk jeshi.Huyo ni Lema, A-towner wa pekee,copy yake hakuna labda mwanae.Viongozi wa jeshi whapo walipo wanaomba Mungu hilo tukio lisingetokea.Kwa sasa chochte watakachosema ni kama binti yako kupewa salamu na mwanamume mbele yako na hali kuwa kama moto ktk petrol ya fikra za huyo binti yako,reaction yako yoyote ni msaada wa kumsukuma binti kwa huyo mwanamume mkware. Mkware Lema kaona kapokea binti na kumpa salamu bil akujali kavaa uniform sasa kazi kwa baba kusema chochote ch akumsaidi abinti kumwangalia Lema vyema.Au kuwakaribisha wenzake waje msaidia kuokoa penzi la moyo wake lisiingilie n ayeyote kiwepo baba yake. Viongozi wa jeshi waseme chochote, wafanya chochote, tayari wanajeshi wameshaanzisha,hakuna tena wakufuta ktk fikra zao.Masikini wewe, halafu jeshi wasisahau kuwa wanatrain wapenda kifo,wasisahau kuw ana sababu za kufa au kutokufa haziondoi ukweli kuwa ukipenda jeshi na vita upende, ukipenda vita n akifo unapenda.so Jeshi lisifikri sana kutishiwa hwa jamaa kwa kifo. Soon tutaona wengi zidi wakisema wanastaafu halafu kesho yake wanasimama jukwaani na CDM nadhani CCM watbadili tone na kuongea lugha safi kidogo.Kwa analysis yangu akina shimbo na CCM wameshongea mengi sana y akuwafanya vijana na wazee jeshini kuwa na mazungumzo ya kisiasa,n aukongelea siasa Bongo lazima uongelee CDM.

Mkuu asante kwa uchambuzi wako mzuri ,vipi pana tetesi mbinu ya mwisho itatumiwa na ccm kuifuta Chadema kabla ya uchaguzi mkuu ujao.Nnajua wewe unapita sana huku jukwaani pana thred moja iliwaasa Chadema kuwa makini na ktk michango ya wadau wengine wapo walioisema hiyo mbinu waziwazi bila kificho kuwa ccm watalitumia jeshi(jwtz)kufanya uasi kwa siku tatu na watasarender ili wakamatwe na mzigo wote watauangusha kwa chama cha Chadema ili kukiua kabisa.Binafsi nilishauri kama kweli linajulikana hilo ni bora tukalitangaza kwa wananchi ili kuzuia hiyo mbinu,vipi mawazo yako hapa ktk hili?
 
Nawatakia CCM kifo chema...kwani hizo stunt mbona zilizotibuka zinawahukumu na kuwakana....dots za Olasiti na Mkutao wa CDM zimewapiga chini vibaya.Wametumia sumu kwa mawaziri wake wenyewe hakuna walichofanya halafu wakaja jenga hoja kijinga kuhusu CDM halafu wakatumia nguvu nyingi sana kushikia bango..,Kesi walizoshindwa makamani tayari ni maandalizi ya kuwamalizia option yenye maana mbele ya macho ya dunia, udini walihubiri wameanza uzwa na akina Ponda, Lipumba...Tindikali waliyotumia sana kwa kubenea, kwa sheikh imekuja waumbua kwa waingereza.tayari waingereza wana conern na kwa kubenea.

Sidhani km wataweza tena stunt nyingine dhisi ya CDM ikawa na mafanikio..majaribio yaliyowashinda hata wakifuta kihalali dunia haitowaamini...kauli ya Mbowe ya mbowe kuwa vijana wa CDM wanatakiwa wafundishwe jilinda, imewakata ngebe kabisa, na kuwaonyesha kuwa..wakifanya machezo CDM inaweza funga milango na kuwa na jeshi, huku wananchi wakitumika hukumu CCM.CCm kwa propaganda wapo very poor...na evidence zinaiaibisha sana CCM.

Record mbaya ya ugaidi, ufisadi, ugaidi, madawa ya kulevya, money laundering etc..vitakuwa mzigo mkubwa sana kwa CCM, huku mataifa jirani yakisubiri nafasi tuu..ni wazi CCM iliyochoka itajiamlaiza vibaya sana.CCM kwa ujumla wana mengi sana..yanayowafanya mataifa makubwa na majirani wang`ate vidole..huku wakis mile nao.Mambo yata eveolve haraka sana.
 
Ponda atakuwa na wasaidizi ambao watakuwa wanatafuta visingizio kibao ili kumnusuru bila wao kuonekana ktk hizi deal...kwani pondani mouthpiece ya watu wengi sana wanafiki ktk siasa,werikali na misikiti....Watamsaidia kwa shida km ....MWANAMUME ALIEYEKOLEA KWA MKE WA MTU AKAZAA NAYE HALAFU MTOTO AKAFARIKI...MUME NI MBABE NA MAAMUZI YA KUZIMA ANAYEAMINI KUWA MWANAE ANAFANYA YEYE...huyu mzinzi anashida sana kumwambia mkewe kuwa nakwenda zika mwanae wa mke mwingine, kupea rudhusa kazini kuwa nakwenda zika mwanae asiyethubutu mtaja, na kuhiriki mazishi ya mwanaye kwa taratibu za dini yake na mila zao.Km ni muislam inabidi avumilie kuona mwanae akizikwa kwa msalaba, km ni mkristu inabidi ashudie mwanae akizikwa kwa jina la allah.

Ponda na CCM,Ponda masheikh wenye kuheshimika, ponda na viongozi wa kisiasa, ponda na viongozi wa serikali dhidi ya mfumo Kristu walioshindwa uvunja kwa kuchukua utawala ni km hicho kisa.
 
Sikushangaa sana kumsikia mheshimiwa mzee 6 akionyesha jinsi gani haijui CHADEMA wala wanyama wadogo lakini hatari sana.Huku kunaweza onyesha jinsi si yeye tuu ila CCM nzima wasivyoijua CHADEMA.

Hawajajifunza hata kwa kuona wabunge wake ni wadogo sana kimaumbile na kiumri ila hawana hofu ya ku-take on anybody in the CCM and the government. Mnyika kasimama ni kusema yote alioona wazi hayafai kuhusu rais mbele ya bunge lote, kasimama na mwanasheria mkuu bungeni na bado ana nguvu za kufanya kwa yeyote, Lema kasimama hivyo hivyo , Msigwa alisimama na kuongea kwa staili iliyonanyamazisha bunge lote la "..Ndioo na zomezomea.."kwa ujumla alinyamazisha bunge hadi akamaliza kuongea na likawa tulivu kila CHADEMA walipoongea na list inaendelea hivyo hivyo hadi kwa wabunge wasiosikika.Sidhani kama CCM walijifunza sana

Mzee aliona safu yao ndogo kaipuuza na kuiita nyembamba..hakujua wana mziki mkubwa kama "honey badger", wanamtafuna nyoka (nikibandika CCM hapa) bila kumua tena wakianzia mkiani.Na hawamzui kujitetea kwa kung`ata au kutema mate.Mabaharia wanajua kwanini vile vi boat vidogo vitumikavyo kuvuta meli kubwa ktk maeneo ya bandari vinaitwa "Badger".

Nadhani utajua ni kwanini ile task (CUF/NCCR) walishindwa CHADEMA wameweza kama vile caterpillar inavyokata kifusi.Katika misimamo wakishagoma wamegoma,patachimbika, na wakiamua chimbua wanachimbua kama catapillar.

Hizo ni coinsidence tuu ambazo waswahili wanaziita bahati.Ila ni bahati zimkutazo mwajibikaji.Kwani kila kitu sahihi hulengana nacho kwa muda sahihi,kama ulikuwa katika uwajibikaji.Kwa mwajibikaji hakuna njaa.

Its no coincidence watu wa kupenda makundi na ubaguzi hawajaweza tafsiri tabia za CHADEMA.Ila kuwashangaza zaidi napawa somo tuu...katika dialects za wachaga.Tafsrisi yake inahama kati ya "Cha/kya/sha/kya dema .cha ghema" nimegoma/amegoma na Kimelima(kuchiba kwa jembe) au tuwaite "caterpillar".

Kuonyesha jinsi gani CHADEMA ni kama honey badger,wapo active sana. CHADEMA wapo active mwaka mzima.Honey badger si mvivu na kuamka kwake ni kufungua macho na kuondoka.Haogopi simba wala chui, wala nyoka.Ni mshapu na ana makeke ya kweli.Yupo illusive, wanyama wakubwa wakimshika ili wamue ngozi yake imepwaya na hivyo kufanya iwe ngumu kwa mnyama mkubwa kumshika sehemu hatari, na mara washikapo sehemu ya ngozi bado kinabaki na nafasi ya kupambana hadi hata ua mnyama adui na kuondoka.Yaani ngozi hujivuta kama vile defender avutavyo jezi ya forward ya polyster katika mpira.

Nadhani sasa wengi wataelewa kwanini CCM watang`ata sana,watarusha sumu sana ila wataliwa kama nyoka aliwavyo kuanzia mkiani hadi kichwa kifikiwe.

CCM wanaweza jitetea kuwa si dhaifu ila CHADEMA wanawafanya waonekane kuwa dhaifu.

upuuzi unaleta hapa huu siyo nuda wa kushabikia vyama hakuna chama hata kimoja kinachofaa kupewa kuongoza nchi hii unafiki mtupu,bora mgombea binafsi!
 
haha....mbona una shari wewe gaidi wa kijamaa?
 
yu huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu yuhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom