Chadema kaeni njoo..tunamalizia kuwatimua mafisadi ndani ya ccm... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kaeni njoo..tunamalizia kuwatimua mafisadi ndani ya ccm...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by greenstar, Nov 10, 2011.

 1. g

  greenstar JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CHADEMA ikae njoo kiama chao kipo jikoni,tunamalizia kuwatimua mafisadi ndani ya chama.....wanatumia huu mwanya kujifurahisha wakidhani itasambaratika.RAI yangu kwa wapenda amani wawe watulivu ktk kipindi hiki cha mageuzi ndani ya chama ,waisaidie serikali kufichua wabadilifu wa fedha za umma bila kuchagua ukabila au udini....tuseme kweli ktk misingi ya haki.Vijana wa CCM tuwe wamoja na tulete mapinduzi ya kweli ndani ya chama chetu kwa maslahi ya taifa lote.

  Naamini Vijana ndiyo wenye dhamana ya kujenga taifa hili lakini msikubali kutumiwa na mafisadi ambao hawaitakii mema nchi yetu.CHADEMA inafanya propaganda za kihuni kwa kudanganya umma.Walikataa posho tukidhani wantutete wanyonge ,leo hii wanalamba matapishi yao...wanataka posho iongezwe kama alivyopigania msanii mwenzao SHIBUDA......heri ya ZITTO +January Makamba walimananisha hilo kwa dhati, .......Watanzania tutafakari kwa dhati juu ya maisha yetu...tufanye bidii katika kazi zetu za kujiletea kipato.....dhani ya huduma za jamii kupatikana bure napingana nalo...hata kama CHADEMA watapata misaada ya Cameron(Ze Ushoga) haitatokea kamweeeeeee.   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hili li-thread lako litachangiwa na watu wasiozidi kumi....ni uharo.
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,980
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Post 17 GreenStar wewe ni mgonjwa, huwezi kutimua mafisadi CCM ukawamaliza, kuanzia mukuru wa boma hadi wapambe wake wote ni walewale!!!!!!!!!!Utatimua yupi umuache yupi wewe ni mgonjwa. Nape akulipa Shs ngapi kwa siku maana si bure unapost uozo hapa!!!!!!!!!!!
   
 4. b

  babubui Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini kwamba kufanya mageuzi ya kweli ndani ya CCM ni kufanya mapinduzi ndani ya serikali. Kwa CCM inawezekana? Kinachosemwe ni mbali na matendo halisi. Propaganda ipo wapi - CCM au CDM?
   
 5. g

  greenstar JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lazima uwe mzalendo wakweli ktk kupambana na mafisadi.....NAPE anatekeleza maagizo ya NEC ....na siyo yeye binafsi kama nyie wavivu wa kufikiri mnavyochukulia juu ya haya mapambano....

  Sina imani na CHADEMA coz hataukifanya uchunguzi utagundua wanaompigia debe LOWASA ni wafuasi wa CHADEMA......Jiulize,ni lini Kiongozi wa upinzani alishawahi kumutaja LOWASA kuwa ni FISADI au ndiyo kufyata mkia......Itafahamika.....kaeni chonjo......CCM siyo ya NAPE wala LOWASA ....tupo wengi wapambanaji ambao tutahakikisha amani na utulivu unadumishwa. better wazimu kuliko ufisaji

  Mwenye macho haambiwi Tazama..........CHADEMA ni wa huni hata wakijificha kanisani au msikitini.....Tunapambana na mafisadi then tuta deal na wahuni.....kwa sasa polisi inafanya kazi yake.....wakishindwa tunaachia kitu cha JWTZ ndipo utajua mwisho wa wahuni. Njoo nikupe kadi ya CCM bwana mdogo maana CDM wanakupa wazimu
   
 6. g

  greenstar JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ogopa mbwa ambaye habweki.......yeye ni kung'ata tuuuu.....CHADEMA wanabweke lakini ni MBWA KOKO........CCM imeshamtimua ROSTAM wengine wanafuata jiandaeni!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hv CCM mna nini siku hz? mbona kila mara mnamsifia ZITTO? kunani?
   
 8. s

  sawabho JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ni kweli CDM wanatumia udhaifu wenu kujiimarisha na kuwakumbusha mlichopaswa au manachopaswa kufanya, kwa maana nyingine nguvu ya CDM iko mikononi mwenu. Ingawa utekelezaji wa hayo uliyoandika yana ugumu wake, lakini tekeleza wajibu wenu ipasavyo mwone kama kuna mwananchi ataenda kwenye maandamano ya CDM.
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Isingekuwa CDM hata hiyo kuvua magamba ingetoka wapi? Wewe ndo mvivu wa kufikiri, huwezi kuongea unapitia thread za watu unarudi kulala siyo kutumwagia upupu.
   
 10. P

  PAFKI Senior Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mshukuru Mungu huku hakuna silaha ila ole wenu zikijaanza kupatikana cjui mtajificha wapi
   
 11. l

  lily JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  better uawazimu kuliko wafisadi
   
Loading...