Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wananchi walifuatilia sana matamko ya viongozi wa Chadema. Siku hizi Mbowe au kiongozi mwingine wa Chadema anaitisha mkutano na waandishi wa habari wananchi na baadhi ya wafuasi wa Chadema hawajali na zaidi wanaishia kudharau.
Kabla ya mwaka 2015 taarifa kwa vyombo vya habari za mara kwa mara zilitolewa na Tumaini Makene na watu wengi walizingatia na kujadili siku hizi Makene haeleweki anafanya kazi gani hapo ufipa (makao makuu ya Chadema).
Mjadala wa leo utajikita katika sababu za nini kimetokea hadi wananchi wanapuuza matamko au taarifa za CHADEMA?