CHADEMA jiulizeni kwanini baada ya mwaka 2015 wananchi wanawapuuza?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wananchi walifuatilia sana matamko ya viongozi wa Chadema. Siku hizi Mbowe au kiongozi mwingine wa Chadema anaitisha mkutano na waandishi wa habari wananchi na baadhi ya wafuasi wa Chadema hawajali na zaidi wanaishia kudharau.

Kabla ya mwaka 2015 taarifa kwa vyombo vya habari za mara kwa mara zilitolewa na Tumaini Makene na watu wengi walizingatia na kujadili siku hizi Makene haeleweki anafanya kazi gani hapo ufipa (makao makuu ya Chadema).

Mjadala wa leo utajikita katika sababu za nini kimetokea hadi wananchi wanapuuza matamko au taarifa za CHADEMA?
 
Nyie ndo hampuzwi? Mbona mnafunga Offisi?

Watu walisha choka na ngonjera za Madaraja na Ndege

Hao wananchi wangeisikilizia wapi CHADEMA na wakati unafahamu kabisa walizuiliwa kufanya mikutano?

Au unajishaulisha kwahiyo rushwa uliyokula?

Au unauliza haupo tanzania?

Endeleeni na Uinterahamwe wenu!
 
si kweli, hata matamko kupitia media yanapuuzwa.
 
Kama wananchi wanawapuuza, mbona mmewazuia kwenda kuonana nao kupitia mikutano,
Kama wananchi wamewapuuzd mbona mnatumia nguvu kubwa ya dola kuwabana, kuwatesa na kuwatweza ili tu wasioperate?!

You are just a bunch of clodhoppers.
 
Hata waandishi wa habari ni kama wameshawachoka au kuwapuuzia, hakuna waandishi wanaoattend press yao kama zamani mpaka social media zinarusha live.

Kwa kifupi wameporomoka umaarufu mpaka zero kubwa
Hakika
 
Kama wananchi wameichoka CDM mbona mnazuia mikutano??
MaCCM kada mnafunga ofisi kunyima wapinzani form na kuwafuta wapinzani!
Mnatumia Polisi kukamata wapinzani na kuwaweka ndani!!
Hiyo ndo kuchokwa na wananchi??
Sikiliza uongo wa viongozi wenu na njama za kuuwa demokrasia!!
 
Back
Top Bottom