"Katika hali inayoonesha kuwa watanzania wanaendelea kuikata mizizi ya ccm kule vijijini,na vitongojini pia na mitaa,
Baada ya chadema kuvuna ushindi wa kimbunga kule Mkoa wa Katavi,
Sasa chadema imevuna tena vijiji12 na vitongoji 20 katika jimbo la Rorya bila kupingwa!
Akiongea nami mjumbe wa kamati ya wilaya ya ccm amesema,kwa juhudi ambazo ameonesha kamanda wenu Heche wananchi wa huko wameamua kuipa ushindi mnono chadema.
Akawasihi tu,wanaccm kuacha tabia ya wizi,utapeli na kuifanya siasa kama sehemu ya kutokea badala ya kuwatumikia wananchi kwani haya ndio matokeo ya kudharau wananchi na kuwaonea!
Heche alipoulizwa,amekili kuwa uchaguzi wamemaliza,kwani ccm wameshindwa kusimamisha wagombea na hivyo wagombea wetu wamepita bila kupingwa
" tutaifuta ccm Mkoa wa mara" Heche alisikika akiongea kwa furaha!
Wakaazi wa vijiji hivyo walipoulizwa walisema " hapa ni mwanzo tu,tumechoka na tabia ya unachukua,unaweka waaa".
Tutaisurubu ccm uchaguzi wa mwakani,kwani tulitoa maoni yetu kwenye katiba, wakayaondoa, sasa tumeona hata juzi kwenye Sakata la Escrow ccm walitetea kuwa hizo sio fedha zetu,utadhani mwekezaji alikuja nazo toka ughaibui!, lakini wakatetea timechoka tumechoka!