CHADEMA jimbo la Rorya yapita bila kupingwa

xenaxena

JF-Expert Member
May 20, 2014
2,237
1,500
"Katika hali inayoonesha kuwa watanzania wanaendelea kuikata mizizi ya ccm kule vijijini,na vitongojini pia na mitaa,
Baada ya chadema kuvuna ushindi wa kimbunga kule Mkoa wa Katavi,

Sasa chadema imevuna tena vijiji12 na vitongoji 20 katika jimbo la Rorya bila kupingwa!

Akiongea nami mjumbe wa kamati ya wilaya ya ccm amesema,kwa juhudi ambazo ameonesha kamanda wenu Heche wananchi wa huko wameamua kuipa ushindi mnono chadema.

Akawasihi tu,wanaccm kuacha tabia ya wizi,utapeli na kuifanya siasa kama sehemu ya kutokea badala ya kuwatumikia wananchi kwani haya ndio matokeo ya kudharau wananchi na kuwaonea!

Heche alipoulizwa,amekili kuwa uchaguzi wamemaliza,kwani ccm wameshindwa kusimamisha wagombea na hivyo wagombea wetu wamepita bila kupingwa
" tutaifuta ccm Mkoa wa mara" Heche alisikika akiongea kwa furaha!

Wakaazi wa vijiji hivyo walipoulizwa walisema " hapa ni mwanzo tu,tumechoka na tabia ya unachukua,unaweka waaa".
Tutaisurubu ccm uchaguzi wa mwakani,kwani tulitoa maoni yetu kwenye katiba, wakayaondoa, sasa tumeona hata juzi kwenye Sakata la Escrow ccm walitetea kuwa hizo sio fedha zetu,utadhani mwekezaji alikuja nazo toka ughaibui!, lakini wakatetea timechoka tumechoka!
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
16,762
2,000
Safi sana. Sijui tupate wapi mikoa ya watu wenye akili angalau 15 km huu wa mara?
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,111
2,000
Kazi na dawa.
Hiyo ni kadi ya njano kwa magamba.
Mwakani kadi ya pili ya njano na kutolewa kwenye uwanja wa siasa.
 
lane

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
894
225
kazi nzuri sana. mwisho wa CCM ndio huoooo

Tutaelewana tu
 
MAHORO

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
7,598
2,000
Safi sana. Sijui tupate wapi mikoa ya watu wenye akili angalau 15 km huu wa mara?
..... Kwa Tanzania Kigoma Pekee Ndo Mkoa Wa Watu Wenye Akili, Wameshaifuta Ccm Kitambo, Hakuna Mbunge "halali" Wa Ccm.
 
Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,195
Ngojeni yale Mapimbi ya Lumumba buku7 yaamke. Uzi kama huu kwanza yanachunguliaaaa!!! Kisha yanakwenda kupangiwa nazi ya kuitia kwenye supu.
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,121
2,000
"Katika hali inayoonesha kuwa watanzania wanaendelea kuikata mizizi ya ccm kule vijijini,na vitongojini pia na mitaa,
Baada ya chadema kuvuna ushindi wa kimbunga kule Mkoa wa Katavi,

Sasa chadema imevuna tena vijiji12 na vitongoji 20 katika jimbo la Rorya bila kupingwa!

Akiongea nami mjumbe wa kamati ya wilaya ya ccm amesema,kwa juhudi ambazo ameonesha kamanda wenu Heche wananchi wa huko wameamua kuipa ushindi mnono chadema.

Akawasihi tu,wanaccm kuacha tabia ya wizi,utapeli na kuifanya siasa kama sehemu ya kutokea badala ya kuwatumikia wananchi kwani haya ndio matokeo ya kudharau wananchi na kuwaonea!

Heche alipoulizwa,amekili kuwa uchaguzi wamemaliza,kwani ccm wameshindwa kusimamisha wagombea na hivyo wagombea wetu wamepita bila kupingwa
" tutaifuta ccm Mkoa wa mara" Heche alisikika akiongea kwa furaha!

Wakaazi wa vijiji hivyo walipoulizwa walisema " hapa ni mwanzo tu,tumechoka na tabia ya unachukua,unaweka waaa".
Tutaisurubu ccm uchaguzi wa mwakani,kwani tulitoa maoni yetu kwenye katiba, wakayaondoa, sasa tumeona hata juzi kwenye Sakata la Escrow ccm walitetea kuwa hizo sio fedha zetu,utadhani mwekezaji alikuja nazo toka ughaibui!, lakini wakatetea timechoka tumechoka!
Mbona yule kamanda mwingine Mwikwabe Waitara hasikiki kabisa!
 
Jo Tsoxo

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,020
1,500
Sasa mbunge mbona anazunguka kwa helikopta...itasaidia nini kama siyo kupoteza fedha! Au anazo nyingi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom