Tetesi: CHADEMA jiandaeni mtatumbuliwa jipu

MSHAURI_WA_NCHI

Senior Member
Nov 10, 2015
139
73
Utumbuaji majipu hautaishia serikalini, wakwepa kodi, walanguzi, wahujumu uchumi, madawa ya kulevya, meno ya tembo na wavamizi Wa maeneo yaliyotengwa kisheria tu bali hata wanasiasa laghai, walarushwa, wanaoficha fedha ughaibuni na waongo wenyekufitinisha jamii nao wajiandae.

Habari ndo hiyo. Mjiandae kuzungusha mikono vizuri.

Hapa kazi tu.
 
Mwenye haki hana haja ya kuwa na hofu wala shaka, ila kwa waovu bila kujali chama wanachotoka, wachukuliwe hatua tu!

Sijajua kwanini umetahadharisha CDM peke yake, nasema mbadhilifu yeyote, narudia tena yeyote awe CCM, CDM au chama chochote hata kama hana chama achukuliwe hatua stahiki sawasawa na matendo yake.
 
CDM wamejiweka pembeni kwa kauli zao wakidhani wako nje ya Tanzania. Ukiwasiliza vema hasa viongozi wao Wa juu kauli zao hudhani hawataguswa. Wajiandae kwani tayari wanafahamika kwa uovu wao na wanaendeleza uovu kwa kujificha nyuma ya siasa ya vyama vingi na support ya wananchi.
 
Wewe hujielewi nadhani utajielewa siku unakufa, wakwepa kodi wapo CCM Na wanalindwa Na CCM, walanguzi wapo CCM, wahujumu uchumi ni CCM, wauza madawa ni vigogo wa CCM, ukiulizwa wauzaji meno ya tembo wapo CCM, Na hakuna wanasiasa walaghai, matapeli wezi wa kura km CCM, walioficha pesa nnje ni mabosi wako wa ccm hivyo ni vyema hili andiko ukalipeleka Lumumba
 
wewe ni jinga kabisa .chadema ni kiwanda au kampuni?amani ya nchi imeshikiliwa na upinzani
 
Utumbuaji majipu hautaishia serikalini, wakwepa kodi, walanguzi, wahujumu uchumi, madawa ya kulevya, meno ya tembo na wavamizi Wa maeneo yaliyotengwa kisheria tu bali hata wanasiasa laghai, walarushwa, wanaoficha fedha ughaibuni na waongo wenyekufitinisha jamii nao wajiandae.

Habari ndo hiyo. Mjiandae kuzungusha mikono vizuri.

Hapa kazi tu.

Mkuu ahsante kwa kuanzisha Thread!
 
Back
Top Bottom