CHADEMA, Je ni ya kweli haya kuhusu Mbowe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, Je ni ya kweli haya kuhusu Mbowe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masaki, Nov 2, 2007.

 1. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2007
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  CCM wanasafisha Chama chao na sisi tusafishe chetu, tusibweteke na umaarufu binafsi wa baadhi ya viongozi wetu.

  Hatua ya kwanza ni kumbadilisha Mwenyekiti Freeman Mbowe. Historia, rekodi na uchafu wa Mbowe huko nyuma utatupa wakati mgumu siku za usoni kwasababu atakuwa easy target wa mafisadi.

  Kwanini nasema hivyo?
  1. Mbowe ni mla rushwa na anashirikiana na wana-CCM kwa ajili ya maslahi yake. Mfano: Mgombea wetu wa Ubunge kule Singida Mjini alitoa malalamiko kwamba Mbowe akumsimamisha na kumtambulisha kwenye mkutano wa kampeni Singida Mjini kama inavyotegemewa. Ukweli ni kwamba aliomba hongo kwa Mohammed Dewji, Mgombea wa CCM, na kupewa shilingi milioni 6 ili asifanye hivyo. Kwa wanaobisha wakatazame kanda ya video ya mkutano wetu pale Singida waone kama mgombea wetu alitambulishwa.

  La sivyo, Mbowe atoe maelezo kwenye Kamati Kuu.

  2. Mbowe ana madeni mengi na hadi sasa anayo "arrest warrant" ya Mahakama Kuu kwa kushindwa kuwalipa wadeni wake na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Oda ya kukamatwa kwa Mbowe imetolewa tarehe 5 Desemba 2006 na Jaji Manento, kwa hukumu iliyosomwa na Jaji Rwakibarila tarehe 27 Oktoba 2006. Arrest Warrant ameandikiwa OCD wa Central na imesainiwa na Bwana Lyimo, Msajili wa Mahakama . Hizi rekodi zote zipo Mahakama Kuu. Bahati yetu tuna Serikali ya hovyo ndio maana Mwenyekiti hajakamatwa mpaka leo kwasababu CCM wanaogopa wakimkamata itaonekana ni siasa lakini siku yoyote Mwenyekiti atakamatwa kwa uchafu wa biashara zake binafsi. Salama yetu ni kuachana naye ili tusije umbuka siku za usoni.

  3. Mbowe anahusishwa na biashara za hovyo. Kwenye uchaguzi wa 2005 watu wa CCM waliweza kutumaliza kwa hoja kwamba tutakuwaje na Rais mwenye kilabu cha pombe na muziki ambacho ni makao makuu ya machangudoa na wauza unga. Mwenyekiti aamue kikutumikia Chama au kufanya biashara ya Billcanaz.

  4. Mwenyekiti ana historia chafu ya ufuska na uasherati . Hili ni tatizo kwa maadili lakini ni tatizo zaidi kwa Mwenyekiti Mbowe kwasababu analeta hizi tabia kwenye kazi na kuleta mifarakano.

  Nitatoa mifano kadhaa:
  amevunja ndoa ya Mbunge Grace Kiwelu ambaye alikuwa ameolewa na mtoto wa Mzee Ndesamburo anayeitwa Sindato. Mwenyekiti alikuwa na ujasiri wa kulala na Grace kwenye ziara za Kichama wakati Mzee Ndesamburo anaona kwa macho yake . Mzee Ndesa alilileta hili suala Kichama, rekodi zipo hadi leo, lakini Mbowe akawa anaendelea. Kesi ilifika mahakamani na talaka kutolewa.

  Mwenyekiti alitia aibu katika ziara tuliyofanya Newala. Grace Kiwelu na Chiku Abwao walipigana usiku saa 7 kwenye nyumba tuliyofikia kwasababu kila mmoja alitaka kulala na Mbowe. Ugomvi ulikuwa mkubwa baadaye Chiku Abwao akafanikiwa kulala na Mbowe. Msafara ulipofika Nachingwea, Grace akawahi kuingia chumbani kwa Mbowe mapema, kwahiyo Chiku akafukuzwa.

  Ilikuwa ni fedheha kubwa kwa walioshuhudia. Kwa kifupi, kama tunataka kujenga Chama makini, huyu hatufai kama Mwenyekiti. Tunao viongozi wengi ambao hawana historia ya uchafu wa biashara na uchafu binafsi.

  Mwenyekiti alipigana na kiongozi mwenzake wa Chama Kawe kwenye sherehe ya kikundi cha sanaa cha Chama kinachoitwa Malongo Sanaa Group kwasababu Mwenyekiti alimtaka msichana mmoja kwenye kikundi anayeitwa Subira Waziri (au Koku) ambaye ni bibi wa kiongozi huyo.

  Ugomvi huo ulikuwa mkubwa na Mwenyekiti alichaniwa shati, lakini alimpiga na kumuumiza kiongozi mwenzake. Kesho yake Mwenyekiti akaenda kwa Mzee Makani kuomba radhi na kutoa 300,000 kwa kiongozi mwenzake asiseme na kuchukua hatua.

  Mwenyekiti pia amevunja ndoa ya Mwanamrisho Abama wa Zanzibar ambaye bado anaendelea naye mpaka leo. Pia ameingilia ndoa ya Sophia hatau wa Lindi ambaye mume wake anafanya kazi TTCL. Pia alivuruga ndoa ya Diwani wa Viti Maalum Halmashauri ya Hai anaitwa Helga .

  Kuna mengine mengi ambayo hayapaswi kusemwa hadharani lakini wao CCM wanayo, rekodi zipo hata za ubakaji miaka ya 1980 na 1990 uliokuwa unafanywa na Mbowe na rafiki yake Dudley Mawala enzi hizo na wanangoja wakati muafaka tu. Ni lazima sisi wenyewe tuchukue hatua kuwapreempt sasa.

  Kwahiyo wanachama wenzetu, baadhi yetu sisi wa matawi ya Mikoa ya Ruvuma, Dar, Kigoma, Manyara, Shinyanga na Arusha tumeamua tuangalie mwelekeo wa mbele zaidi wa Chama chetu. Mnyika na Kabwe wanafanya kazi nzuri sana za kurecruit vijana wenzao wasomi kwenye Chama chetu.

  Wameanzisha mtandao wa vijana ambao una matumaini ya kutuvunia wanachama na viongozi wasomi makini kwa siku za usoni. Tusiache mtu mmoja atuvurugie hii future nzuri ya Chama chetu iliyo mbele yetu.

  Wakati ni huu. Tunaweza kabisa kuwatoa mafisadi madarakani kamatutakuwa makini.

  MPAKA KIELEWEKE!
   
 2. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2017
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,550
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  huyu mwenyekiti kweli ni hodari wa ufuska....
   
 3. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2017
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  aiseee!
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2017
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,535
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  Hili kaburi balaa..
   
 5. baba swalehe

  baba swalehe JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2017
  Joined: Jun 6, 2017
  Messages: 2,156
  Likes Received: 1,727
  Trophy Points: 280
  Huu Uzi wa muda 2007 loooh
   
 6. dustless

  dustless JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2017
  Joined: Oct 21, 2016
  Messages: 772
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 180
  Hakuna msafi, kila mtu ukifuatilia nyendo zake kwa ukaribu utagundua mengi, tunatofautiana viwango tu vya maovu.

  Ila kama hana uwezo wa kukikuza chama, basi hawatendei haki wafuasi wake na hiyo ndo iwe hoja ya msingi ya kumtoa, sio kwa uozo huo kila mtu ana yake.
   
 7. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2017
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,550
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  jasiri haachi asili....
   
 8. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2017
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,550
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280

  kweli mke wa mwenyekiti ana roho ya chuma.... lkn ya kaisari tumpe kaisari.
   
 9. Kalamu Yangu

  Kalamu Yangu JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2017
  Joined: Dec 21, 2016
  Messages: 1,035
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  Kaburi ......
   
 10. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2017
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 9,299
  Likes Received: 7,852
  Trophy Points: 280
  Wanahitajika akina Chakaza et al hapa...
   
 11. Pamputi

  Pamputi JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2017
  Joined: Apr 22, 2016
  Messages: 983
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 180
  ila haka kautaratibu ka kufukua makaburi ni kabaya sana asee

  nov 2 2007
   
 12. r

  rubii JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2017
  Joined: Feb 22, 2015
  Messages: 11,320
  Likes Received: 9,931
  Trophy Points: 280
  Mbowe buana yaani katika wanasiasa vichefuchefu kwangu huyu wa kwanza
   
 13. o

  offg76 JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2017
  Joined: Dec 3, 2016
  Messages: 224
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Kitu sukari katikati ya miguu hakijawahi muucha mtu salama.
   
 14. gemmanuel265

  gemmanuel265 JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2017
  Joined: Feb 16, 2016
  Messages: 3,762
  Likes Received: 6,004
  Trophy Points: 280
  Hizo porojo tu kama zilivyo porojo zinginezo dhidi ya viongozi wa upinzani.
   
 15. gemmanuel265

  gemmanuel265 JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2017
  Joined: Feb 16, 2016
  Messages: 3,762
  Likes Received: 6,004
  Trophy Points: 280
  Kipara alimla mtoto wake wa kike akajiua kwa fedheha, kipara huyu huyu alimbebesha zege mwandani wake usiku wa manane kama mwizi, kipara huyu kafisadi mtumbwi kwa mabilioni ya tsh na kuwapa mahawala wake mabanda ya serikali sababu ya papuchi,...kwa ufupi kipara hafai hata kuwa kiongozi wa watu wawili tu
   
 16. tweenty4seven

  tweenty4seven JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2017
  Joined: Sep 21, 2013
  Messages: 6,193
  Likes Received: 3,479
  Trophy Points: 280
  Kula rambirambi lazma akili ikuruke,hakuna msafi chama chakavu
   
 17. M

  Manbad JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2017
  Joined: Apr 10, 2017
  Messages: 1,078
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  Huyu mpuuzi hua nasema kila siku hafai. Chacha Wangwe aliwahi kuandija walaka kuhusu Mbowe wenye ushahidi kede unaweza pagawa. Ni drug dealer, muasherati, tapeli, fisadi, mvunja ndoa za watu, mbinafsi, mkabira na mkanda, a few to mention. Kamwe hata abadili gia angani vipi uraisi atausikia tu kupitia vyama vingine.
   
 18. mop

  mop JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 745
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 80
  Hapo Wema kashaliwa kiboga, hawezi kumuacha hadi sasa
   
 19. Rais Wa Malofa

  Rais Wa Malofa JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2017
  Joined: Aug 27, 2015
  Messages: 208
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Nov 2007 nilikuwa pale Central Sec, Dodoma, nafanya mtihan wa kidato cha nne.
   
 20. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2017
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  pole yake
   
Loading...