CHADEMA:Jasho, vumbi, maumivu, na hata damu ndo ukombozi wenu

maguzu masese

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
283
139
Maneno
hayo yalisemwa jana na Kamanda Mawazo wakati wa kuwaaga waandamanaji
waliotembea kilomita sita kumsindikiza mgombea .Aliwaambia hata
mamilioni ya Ngeleja hayawezi tena kuwashinda, hata bastola zake anazo
watishia hazina nguvu tena
 
Kwani hamuwezi kufanya kampeni za kistaarabu bila kuonyesha ushari wenu? Watanzania hawapendi vurugu...tuhubiri amani badala ya chuki
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni....mkimnyima haki kuna wakati anaweza fanya kitu usichotarajia na chenye madhara hii yote ni kwa sababu ya kuonewa......mimi nazani ifike mahali cdm isionekane ni washari bali ipewe haki zake na pale itapotumia vibaya ndio tuihukumu..
 
Maneno
hayo yalisemwa jana na Kamanda Mawazo wakati wa kuwaaga waandamanaji
waliotembea kilomita sita kumsindikiza mgombea .Aliwaambia hata
mamilioni ya Ngeleja hayawezi tena kuwashinda, hata bastola zake anazo
watishia hazina nguvu tena

Na hilo jasho, machozi na damu inakua ya walalahoi na wala si hao viongozi wa Chadema. Haya jamani Watanzania mnaambiwa mumwage damu madaraka washike wengine.
 
Haina maana ya CHADEMA kumwaga damu, bali CHADEMA tupo tayari kufa kwa ajili ya kuwapatia watanzania haki yao katika nchi yao yenye utajiri wa kutosha. Na hili ni kutokana na vitisho alivyotoa Ngereja kule sengerema na Vile vilivyotokea kule arusha wakati CHADEMA wakifanya kampeni za udiwani, ndipo baadhi ya wana ccm walitishia kuwaumiza wanachadema. Vipi sasa unasema chadema wanataka kumwaga damu? Mtanzania wa leo siyo yule wa juzi baba, hadanganyiki hata kidogo. Na kwa taarifa yako hao watawala wako ndio wanamwaga damu kila kukicha, na hiyo damu inawalilia mbele ya Mwenyezi Mungu.
 
Maneno ya shari kabisa hayo

Kweli ni maneno ya shari lakin umefikiria ni kwa nini kasema vile, unaweza kusema kwamba mamilion ya mtoto wa hapa bitoto (ngereja) na bastola yake sio shari, watu wamechoka kudhulumiwa tena laiv kabisa

Ndo maana kaka yangu roma alisema"Watanzania mna woga so aman mnadanganywa"
 
Maneno
hayo yalisemwa jana na Kamanda Mawazo wakati wa kuwaaga waandamanaji
waliotembea kilomita sita kumsindikiza mgombea .Aliwaambia hata
mamilioni ya Ngeleja hayawezi tena kuwashinda, hata bastola zake anazo
watishia hazina nguvu tena

Maneno matamu, yaliojaa ujasiri na roho ya uzalendo dhidi ya hila za ibilisi ccm. Peoples!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom