Chadema iwapige marufuku TBC kujihusha na maandamano, mikutano yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema iwapige marufuku TBC kujihusha na maandamano, mikutano yao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, May 12, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Hivi inawezekana kwa Chadema kuwapiga marufuku TBC wasijihusishe kabisa na maandamano na mikutano ya chama hicho kwa ajili ya kutangaza kwenye TV yao na radio?

  Nadhani imefika wakati Chadema wakachukuwa hatua hiyo kwani ni bora kutotangazwa na TBC kuliko kutangaza kwa namna ya kuchakachua habari, matukio, uwingi wa watu etc etc. Haina tija yoyote.

  Nakumbuka katika miaka ya tisini, CUF waliipiga marufuku TVZ kwa kuchakachua mikutano yao ingawa kulikuwapo mvutano kidogo kuhusu marufuku hiyo.
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kwani bado Tbc wanachakachua habari za maandamano za CDM?
   
Loading...