JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
Habari wanabodi!
Kufuatia hasara kubwa walio pata wakulima wa nyanya wa Dumila mkoani Morogoro na Kitele mkoani Mtwara, nashauri CHADEMA ichukue jukumu la kuwafidia wakulima wale japo fedha kidogo ili kuwafariji.
Kule Kitele mkoani Mtwara kuna vijana waliohitimu masomo yao St Agustine University wakaamua kujiajiri kwenye kilimo cha nyanya na Mahindi solo la nyanya limewaathiri sana.
CHADEMA wachukue hii kama fursa muhimu kwa kuwafidia japo fedha kidogo ikiwa kama mkakati wa kujijenga vijijini
Wakizembea wao sisi tuoneshe tofauti yetu na wao.wao wanataka wakulima wajiongeze, sisi tuwaongezee wakulima matumaini na faraja.