CHADEMA itoe tamko la kukanusha uongo wa Mwenyekiti wa CCM kwamba Tundu Lissu alilitelekeza jimbo ili dunia ijue Ukweli

Huyu amejifukuza kazi mwenyewe kwa utoro ,acha kupotosha
Mini maana ya uzalendo? Uzalendo ni kutokufautilia haki yako ya msingi? Wewe ukifukuzwa kazi bila utaratibu utaacha tu mtu mwingine apewe nafasi yako na kujiita mzalendo, wakati huo stahiki zako hailupwi?
It doesn't make sense at all.
 
Mini maana ya uzalendo? Uzalendo ni kutokufautilia haki yako ya msingi? Wewe ukifukuzwa kazi bila utaratibu utaacha tu mtu mwingine apewe nafasi yako na kujiita mzalendo, wakati huo stahiki zako hailupwi?
It doesn't make sense at all.
Makosa makubwa ni kufikiria ubunge kama kazi ya kuingiza kipato. Ubunge ni kazi ya kujitolea ya kuwatumikia wananchi. Kama eneo linakosa mwakilishi kwa mwaka mzima, basi halihitaji mwakilishi. This somehow will make sense to sensible persons and will not make sense to those .......
 
Kuna Viongozi ndani ya Chadema hawamtaki Lissu, na wanaomba asirudi nchini. Kila wiki kuna watu wanaomtumia messages asirudi mambo ni mabaya, wengine wakimuambia kazi anayoifanya akiwa njee inatija sana kwa Chadema.
 
wewe unamuamini mwana ccm , chama kilichopanga njama ya mauaji ya Lissu ? uzi huu si wa kibwege , unapochangia ni lazima ujipange sana kijana , dunia yote inajua uchafu uliofanywa
Mkuu acha kutoka nje ya point.

Pia lugha za staha ndiyo ngao yetu, kutofautiana mitazamo siyo ubwege'ujue!

Kila raia anajua masaibu yalompata huyo mheshimiwa pia hakuna anayefurahia ubaradhuli alotendewa.

Ila point yako usilazimishe watu wamuelewe vibaya rais wao kwa maneno asiyoyatamka!

Angelisema kama ulivyoandika, nisingelijifaragua kutetea chochote, nitetee nini wakati takataka zote hubakia hewani kama kielelezo na kila mtu anauwezo wa kutafuta na kuzisoma?
 
Maelezo marefuuuuu kuhusu non issues. Lissu alipokuwa tz. Singida ilikuwa by the way ila TLS na kelele zisizoumiza ndo vilikuwa priorities zake. Leo unakuja hapa na mgazeti mrefu kujifanya kama inakuuma. Hujaona huko watu wamepewa miezi 3 wajenge machinjio ya vitoweo? Hujaona process au Basi hata ramani ya kuunganisha pangani Tanga na bagamoyo pwani. Hujaona Rada zimezinduliwa. Ni aibu sana ndo mana mtaendelea kuonekana maroboti ya CHadema. Mana mtu mzima anayefikiria. Tafakari kwa undani Mambo anakuwa na positive mind.
Mdau....yule Mbunge wa Musoma Vijijini..Nimrod Mkoni...ajaonekana jimboni kwake kwa muda gani...? Sijaona sehemu watu wanaongelea hili.
 
Back
Top Bottom