CHADEMA itoe tamko la kukanusha uongo wa Mwenyekiti wa CCM kwamba Tundu Lissu alilitelekeza jimbo ili dunia ijue Ukweli

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,580
217,964
Kauli ya Dr Magufuli kwamba Tundu Lissu alitelekeza jimbo kwa kipindi chote cha matibabu yake haiwezi kuachwa ikapita hivi hivi kizembe bila kukanushwa na kupingwa , Natambua kwamba wadau wengi wamepinga kauli ile ambayo ni kama inamdhalilisha Tundu Lissu binafsi , inadhalilisha wananchi wa Singida na kwa uhakika inadhalilisha nchi kwa ujumla , lakini kuna haja kwa Chadema yenyewe kama Chama ambacho Tundu Lissu ni kiongozi wake na mhusika mkuu kutoa tamko kuhusiana na uongo huu

Nimesubiri kuona kama chama kinaweza kukanusha huu uongo kwa wakati lakini nimeona kimya , ni lazima sasa viongozi wakuu wa Chadema wajitokeze hadharani kuiambia dunia kwamba kilichozungumzwa ni uongo wa mchana , Tundu Lissu hakutelekeza jimbo lake , yuko nje ya nchi kwa zaidi ya miaka miwili kwa ajili ya Matibabu baada ya kushambuliwa bungeni Dodoma na waliopachikwa jina la kizushi la watu wasiojulikana , huku uchunguzi wa tukio hilo ukiwa umezimwa ikiwa ni pamoja na kung'olewa kwa CCTV camera zilizokuwa eneo la tukio

Uongo ukiachwa bila kukanushwa hugeuzwa kuwa Kweli .

Naomba kuwasilisha
 
Watanzania sio wajinga..tunaujua ukweli wote hatuna haja ya kuambiwa neno lolote.! Kwani hatujui kuwa Lisu alipigwa risasi?
Kwani hatujui kuwa yupo kwenye matibabu?
Tunajua ila tumekausha tu wajitekenye wenyewe na kucheka. Kwani Mungu si ni wa kwao peke yao? Bhasi saawa
 
Siasa za ccm ni za kishamba sana,Tundu lisu kaondoka TZ kwa dharura ya kupigwa risasi 48 mwilini.Hadi leo kuwa hai ni kudra yake Manani.Inamaanisha Raisi alitaka lisu afe ili jimbo liwe wazi walichikue?
Kulitelekeza maana yake ni kuwa uwezo wa kuwepo jimboni anao lakini anakwepa kwa makusudi.Lakini wote tunajuwa lililomsibu na hali anayoendelea nayo ya kupambana na miguu yake na kisaikolojia.
Hawa ccm ni watu wasio na nadhari bali makatili sana.
Hivi kama ingelikuwa raisi ndie aliefikwa na janga kama hili ,si jui ingekuaje,Halafu wapinzani wadai raisi kaitelekeza ikulu ,kweli pangetosha hapa.
 
Kauli ya Dr Magufuli kwamba Tundu Lissu alitelekeza jimbo kwa kipindi chote cha matibabu yake haiwezi kuachwa ikapita hivi hivi kizembe bila kukanushwa na kupingwa , Natambua kwamba wadau wengi wamepinga kauli ile ambayo ni kama inamdhalilisha Tundu Lissu binafsi , inadhalilisha wananchi wa Singida na kwa uhakika inadhalilisha nchi kwa ujumla , lakini kuna haja kwa Chadema yenyewe kama Chama ambacho Tundu Lissu ni kiongozi wake na mhusika mkuu kutoa tamko kuhusiana na uongo huu

Nimesubiri kuona kama chama kinaweza kukanusha huu uongo kwa wakati lakini nimeona kimya , ni lazima sasa viongozi wakuu wa Chadema wajitokeze hadharani kuiambia dunia kwamba kilichozungumzwa ni uongo wa mchana , Tundu Lissu hakutelekeza jimbo lake , yuko nje ya nchi kwa zaidi ya miaka miwili kwa ajili ya Matibabu baada ya kushambuliwa bungeni Dodoma na waliopachikwa jina la kizushi la watu wasiojulikana , huku uchunguzi wa tukio hilo ukiwa umezimwa ikiwa ni pamoja na kung'olewa kwa CCTV camera zilizokuwa eneo la tukio

Uongo ukiachwa bila kukanushwa hugeuzwa kuwa Kweli .

Naomba kuwasilisha
Ni kweli , lakini ulimwengu mzima unajua nani alidhamiria TAL afe . Lakini pia ulimwengu mzima unajua nani ameelekeza shauri la liwe Je !!. WaTz wanajua na yeye mwenyewe anajua.

Tuna bahati mbaya sana kuangukia mikono hii isiyo salama kwa yeyote .
 
Kauli ya Dr Magufuli kwamba Tundu Lissu alitelekeza jimbo kwa kipindi chote cha matibabu yake haiwezi kuachwa ikapita hivi hivi kizembe bila kukanushwa na kupingwa , Natambua kwamba wadau wengi wamepinga kauli ile ambayo ni kama inamdhalilisha Tundu Lissu binafsi , inadhalilisha wananchi wa Singida na kwa uhakika inadhalilisha nchi kwa ujumla , lakini kuna haja kwa Chadema yenyewe kama Chama ambacho Tundu Lissu ni kiongozi wake na mhusika mkuu kutoa tamko kuhusiana na uongo huu

Nimesubiri kuona kama chama kinaweza kukanusha huu uongo kwa wakati lakini nimeona kimya , ni lazima sasa viongozi wakuu wa Chadema wajitokeze hadharani kuiambia dunia kwamba kilichozungumzwa ni uongo wa mchana , Tundu Lissu hakutelekeza jimbo lake , yuko nje ya nchi kwa zaidi ya miaka miwili kwa ajili ya Matibabu baada ya kushambuliwa bungeni Dodoma na waliopachikwa jina la kizushi la watu wasiojulikana , huku uchunguzi wa tukio hilo ukiwa umezimwa ikiwa ni pamoja na kung'olewa kwa CCTV camera zilizokuwa eneo la tukio

Uongo ukiachwa bila kukanushwa hugeuzwa kuwa Kweli .

Naomba kuwasilisha
We mwenyewe muoga kama nn
 
Maelezo marefuuuuu kuhusu non issues. Lissu alipokuwa tz. Singida ilikuwa by the way ila TLS na kelele zisizoumiza ndo vilikuwa priorities zake. Leo unakuja hapa na mgazeti mrefu kujifanya kama inakuuma. Hujaona huko watu wamepewa miezi 3 wajenge machinjio ya vitoweo? Hujaona process au Basi hata ramani ya kuunganisha pangani Tanga na bagamoyo pwani. Hujaona Rada zimezinduliwa. Ni aibu sana ndo mana mtaendelea kuonekana maroboti ya CHadema. Mana mtu mzima anayefikiria. Tafakari kwa undani Mambo anakuwa na positive mind.
 
Kauli ya Dr Magufuli kwamba Tundu Lissu alitelekeza jimbo kwa kipindi chote cha matibabu yake haiwezi kuachwa ikapita hivi hivi kizembe bila kukanushwa na kupingwa , Natambua kwamba wadau wengi wamepinga kauli ile ambayo ni kama inamdhalilisha Tundu Lissu binafsi , inadhalilisha wananchi wa Singida na kwa uhakika inadhalilisha nchi kwa ujumla , lakini kuna haja kwa Chadema yenyewe kama Chama ambacho Tundu Lissu ni kiongozi wake na mhusika mkuu kutoa tamko kuhusiana na uongo huu

Nimesubiri kuona kama chama kinaweza kukanusha huu uongo kwa wakati lakini nimeona kimya , ni lazima sasa viongozi wakuu wa Chadema wajitokeze hadharani kuiambia dunia kwamba kilichozungumzwa ni uongo wa mchana , Tundu Lissu hakutelekeza jimbo lake , yuko nje ya nchi kwa zaidi ya miaka miwili kwa ajili ya Matibabu baada ya kushambuliwa bungeni Dodoma na waliopachikwa jina la kizushi la watu wasiojulikana , huku uchunguzi wa tukio hilo ukiwa umezimwa ikiwa ni pamoja na kung'olewa kwa CCTV camera zilizokuwa eneo la tukio

Uongo ukiachwa bila kukanushwa hugeuzwa kuwa Kweli .

Naomba kuwasilisha
1.kutelekeza jimbo maana yake nini tuanzie hapo maana naona kunasintafahamu
 
umeishia darasa la ngapi ?
Wewe msomi unatoaje mada kama hiyo bila evidence? Kanuni zilifatwa? Weka document.
Dunia nzima tunajua mkasa uliompata na sio kwamba hatusikitiki na yaliomkuta ila je alifata taratibu za kuwa nje ya ofisi au ulitaka wapate taarifa mitandaoni?
Ukiwa nje ya ofisi kwa muda fulani lazima Kuna document unajaza au barua.
Huyo mbowe alifanya nini kuhakikisha mbunge wake anafata taratibu?

Huwa mnalalamika tu bila sababu ya msingi, ishini kwa kufata utaratibu mkionewa muwe na cha kujitetea watu wawaelewe. Mnatia huruma
 
Huwezi kumzuia mbwa kubweka
 
Back
Top Bottom