Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 690
Hii ni kwa maoni yangu.
Chama cha wananchi CUF kina mizizi tosha kule Zanzibar na CHADEMA kina Mizizi ya kutosha Bara.
CUF wapo katika umoja na CCM na wachambuzi wnakifafanisha CUF na sehemu ya CCM yahani CCM B.
Sasa mawazo ya CHADEMA na watu wengine kudhani CCM -B inaweza kuungana na CHADEMA kutengeza upinzani bungeni ni kujidanganya tu.
Wenye mawazo hayo ni kutaka kusema kuwa sasa CUF itakuwa ikijiuma na kupuliza kitu ambacho hakiwezekani.
Katibu mkuu wa CUF yupo IKULU zanzibar na Dk Sheini wa CCM wakipanga namna ya kuongoza nchi kisha wabunge wa CUF waungane na CHADEMA kukosoa mambo fulani yanayofanywa serikali ya CCM hili haliwezekani.
CHADEMA tafuta mbinu mbadala achana na CUF
Byabato