CHADEMA itaweza kukaa meza moja na CUF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA itaweza kukaa meza moja na CUF?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mathias Byabato, Nov 29, 2010.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Hii ni kwa maoni yangu.

  Chama cha wananchi CUF kina mizizi tosha kule Zanzibar na CHADEMA kina Mizizi ya kutosha Bara.

  CUF wapo katika umoja na CCM na wachambuzi wnakifafanisha CUF na sehemu ya CCM yahani CCM B.

  Sasa mawazo ya CHADEMA na watu wengine kudhani CCM -B inaweza kuungana na CHADEMA kutengeza upinzani bungeni ni kujidanganya tu.

  Wenye mawazo hayo ni kutaka kusema kuwa sasa CUF itakuwa ikijiuma na kupuliza kitu ambacho hakiwezekani.

  Katibu mkuu wa CUF yupo IKULU zanzibar na Dk Sheini wa CCM wakipanga namna ya kuongoza nchi kisha wabunge wa CUF waungane na CHADEMA kukosoa mambo fulani yanayofanywa serikali ya CCM hili haliwezekani.

  CHADEMA tafuta mbinu mbadala achana na CUF

  Byabato
   
 2. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hoja ya kuunganisha upinzani aidha ndani ya bunge au nje ya bunge haina mashiko. Mpaka sasa tushajua ni chama gani ni cha upinzani kweli na vipi ni makapi na vipi ni washirika wa CCM. Na kwa kuwa vyama vyote havina malengo yanayofanana basi ni upumbavu kulazimisha muungano.
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  kweli hakuna haja ya kuhangaika na ccm b ilhali cdm inajitosheleza kwa kila kitu
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hii iko wazi Byabato. Huwezi kuweka cuf (Chama cha ugaidi na ufisadi) pamoja na Chadema. ni vitu viwili tofauti sana. Chadema kaeni mbali na CUF alafu wacha waone mchezo unavyochezwa wao waendelee kuwa visiwani na sisi tuwe bara tuone upinzani wa kweli utakuwa wapi!
   
 5. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM wakimsimamisha Mkatoliki mwenzenu, nyie nyote mtarudi huko mlipokimbia. Hapo ndipo mtakapokuja kujua kuwa nyie mlikuwa CCM-A na sumu zenu za udini mlizolambishwa na viongozi wenu wa dini zitawasuta! WANAFIKI WAKUBWA!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Usisahau CUF ni chama cha kidini zaidi kuliko kisiasa ! Kuungana nao ni kijibebesha timed bombs
   
 7. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna sababu yoyote ya kuwabeba hao, maana wakati wowote wanaweza kujilipua wakakuangamiza! keep them far away!!!!!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CUF ni wakuwaogopa hawakawii kulipuka na kusababisha maafa maana wanaimani Kali ya mabikira 72 kwa siku 72! Wala si wakuzungumza nao!
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Nov 30, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  CUF wanadai hawaachi nguruwe (ccm) wamalize shamba huku wakishangilia matokeo ya urais yaliyochakachuliwa, sasa huo kama si unafiki ni nini? Waendelee kula matunda ya ufisadi na mwanandoa mwenzao, ccm, historia itawahukumu milele!
   
 10. J

  John10 JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu nimegundua wale washabiki wengi wa Chadema ni watu wanaopenda ubaguzi, udini, na Ukabila. Hiyo kweli, CCM wakimsimamisha Mkatoliki utaona watu wote hapa wanatoka Chadema na kwenda CCM. Sasa hivi, kuna wanachama hao hao wanaoipenda Chadema, wanaandika kwamba Lowassa ndiye awe mgombea wa CCM 2015 ili wapate kumpigia kura.

  Dr. Slaa kaingizwa mkenge na hawa jamaa.
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Nov 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Guys this is too much sasa!

  katiba ikibadilishwa na tukawa na serikali ya mseto, then chadema itakuwa CCM-C?

  Tangu lini chadema wamakijua kuwa cuf ni cha kidini? maana miaka iliyopita kulikuwa na ushirikiano

  Guys, who says that chadema will prevail by this tactics??

  Kumbukeni, hii hali inaingia mpaka ndani ya chadema.
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Nov 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Yaani wewe haujui maana ya serikali ya mseto, ni kusema kuwa nchi zote ambazo kuna serikali ya mseto hakuna upinzani, guys mnajiaibisha mpaka basi, wakongwe wanawaangalia mnvyomwaga sumu humu

  That means chadema ilivyokuwa na umoja na ccm kigoma, then hawakuwa wapinzani tena??

  mbona mnapotosha umma na kujiaibisha, mabadiliko ya katiba tunataka nini sana sana kama siyo vitu kama serilai ya mseto, mbona mnaweka room ya ccm kutawala milele?
   
 13. Mporipori

  Mporipori Member

  #13
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu yatupasa tujitahidi kuukwepa udini., kubaguana kwa misingi ya kidini au tofauti yeyote ni sumu kubwa katika ukombozi wa nchi yetu.. Ni kweli ccm wameshindwa kumeet our expectations, What we are supposed to do now..? tugombane kwa misingi ya hawa CUF (eti sijui wa dini fulani) na hawa CHADEMA (eti wa dini nyingine..) LA HASHA! Huo ni upumbavu.. CUF imewabidi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa manufaa ya watu wa Zanzibar-tusiwalaumu, na CHADEMA inatofautiana na Serikali ya ccm kwa manufaa ya watu wa Tanzania-tusiwalaumu pia.. Cha msingi tuangalie wapi tunaweza kushirikiana-Tushirikiane... Ni vipi tunaweza kubring change & unity to our societies while ourselfs are not united..? TUSIGOMBANE TUKAWAFAIDISHA CCM NDUGU ZANGU!
   
 14. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na chama cha Pengo na Padri Ratz siyo cha kidini? Bwehehehe!!!!!
   
 15. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao viongozi wenu wamekula dongo wameshindwa kutoa huo ushahidi wa kura kuibiwa. Sasa mmebaki nyinyi waumini kurudiarudia hayo maneno kama KASUKU! Mlifanya hivi mlipodai kuwa JK amesema hataki kura za wafanyakazi LAKINI mwishowe mkachoka mkaanza kuingia kwenye mambo ya treni ya umeme Dar-Mwz masaa matatu na mfuko wa cement buku tano! Na haya pia mtayachoka unless nyie mna genes za KASUKU!
   
 16. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani mapadri watafune mabikira ya kiume humu humu duniani na wengine ndiyo wasubiri mpaka wafe?
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  This is lunatic case!this guy should be hospitalized as soon as possible!otherwise we shall be in danger!!!
   
 18. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hekima na busasra zako haziwi-shared na wanachama wengi wa ukumbi huu. Wengi wao humu ukiwauliza uchaguzi wa 2005 walikuwa wanashabikia chama gani, watakwambia CCM (hata kama wanakataa) lakini pindi Mwongozo ulipotoka na wao wakageuka "wanaharakati".
   
 19. k

  ktman Member

  #19
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa KAFU hawana cha dili Tanzania Bara na wanaitia hasara tu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana faida gani katika Bunge la Jamhuri ? Zawadi ya kuwapatia kama Wasaliti ni kuwanyima kura Tanzania Bara ili wasiwe dili kabisa . Wanaleta Kichefu chefu tu Tanzania Bara , Core value yao hawa ni dini hawa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 20. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #20
  Nov 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jitu la kuwasili utalijua tu, hata Kiswahili cha mjini anachojaribu kuandika nacho kinamshinda. Kwanza kajifunze lugha ya mjini vizuri kabla ya kujifanya mtoto wa mjini na kutaka kuandika Kiswahili cha mjini.
   
Loading...