Chadema Itatwaa Dola Kama Itaendelea Kama Ilvofanya Arusha na Mwanza (Uwajibikaji, uwajibishaji)

Chadema hawawezi kupewa nchi mpaka Kanisa liwe halipati tena maslahi kutoka CCM
 
Kwa sasa inatakiwa CHADEMA kuwa makini kweli kweli kwani kuna MAMLUIKI kibao wanakimbia CCM na Kuingia CHADEMA ili kukiua kisiweze kushika Dola. Kila anayetoka CCM na kujiunga CHADEMA achunguzwe asije kutuulia Chama Chetu.
Umesema kitu muhimu, yaani inteligensia ndani ya chama, iimarishwe. Kaka Rwakatare kazi hiyo.
 
Very good critical analysis.

Nikijaribu kulinganisha utendaji wa secretary ya CHADEMA vs CCM naona tofauti kubwa sana.

Kifupi CHADEMA wamejipanga vizuri sana kuongoza wananchi.
Ningekuwa na uwezo, ningemwambia Mwanafalsafa Isango aichmbue hii mada kwa undani zaidi. Natamani kuona Tanzania yenye watu wanaowajibika.
 
Chadema wanatakiwa kuimarisha intelijensia yao na pia ku-maintain hii reputation ambayo wameshaipata. Ubunifu zaidi pia unatakiwa. Radio na TV pia ni muhimu kuwa navyo kabla ya 2015.
 
Nu pori moja uko dar linaitwa mabwepande........au kwa maelezo zaidi kamuulize rostam alikuwa anafanya kazi huko yeye anauzoefu.......
Cant be a coward, because I believe in God's righteousness, (Haki ya Mungu). Hiyo mabwepande ni ya Mashetani wa CCM.
 
Kwa sasa inatakiwa CHADEMA kuwa makini kweli kweli kwani kuna MAMLUIKI kibao wanakimbia CCM na Kuingia CHADEMA ili kukiua kisiweze kushika Dola. Kila anayetoka CCM na kujiunga CHADEMA achunguzwe asije kutuulia Chama Chetu.

Ni muhimu sana
 
TUMIA TAKWIMU HIZI ZA
CHADEMA KUNIPA JIBU :
MWAKA 1995 ilishinda
ubunge viti 4, madiwani viti
42.
MWAKA 2000 ilishinda
ubunge viti 5, madiwani viti
75.
MWAKA 2005 ilishinda
ubunge viti 11, madiwani viti
103.
MWAKA 2010 ilishinda
ubunge viti 48, madiwani viti
467.
unatarajia nini 2015 idadi ya
viti vya ubunge na udiwani ?
Achana na porojo za CCM, jibu
kisomi na hali halisi ya kisiasa
nchini.
Je safu mpya itaweza
kukabiliana na mabadiliko ?
Tukubali tusikubali CHADEMA
inakuwa tena vizuri.
 
Back
Top Bottom