Uchaguzi 2020 CHADEMA itasimamisha wagombea wachache wa ubunge Oktoba 2020 kwa sababu haitapata " Makapi" kutoka CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,796
141,694
Ikumbukwe kuwa wagombea wengi wa ubunge wa Chadema katika majimbo mwaka 2015 ni wale waliotoka CCM baada ya kushindwa kura za maoni na kumfuata Lowassa pale Ufipa.

Mwaka huu fursa hiyo haitakuwepo na hivyo Chadema inategemewa kuwa na wagombea ubunge wachache sana watakaotokea maeneo ya mijini tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Twenty twenty hamna upinzani ni mwendo wa kupita bila kupingwa chadema hawatajisumbua kupoteza muda na fedha
 
Ushauri wako ni nini? Baada yakujua hilo
Ikumbukwe kuwa wagombea wengi wa ubunge wa Chadema katika majimbo mwaka 2015 ni wale waliotoka CCM baada ya kushindwa kura za maoni na kumfuata Lowassa pale Ufipa.

Mwaka huu fursa hiyo haitakuwepo na hivyo Chadema inategemewa kuwa na wagombea ubunge wachache sana watakaotokea maeneo ya mijini tu.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapokuja na hoja kama hii inahitaji FACTS sio blabla..

Weka hapa idadi ya Wagombea wa 2015 waliomfata Lowassa kutoka CCM na Wakashinda Ubunge na sio kuongea tu..

Maana kuna wengine walikatwa kinyemela na CCM then wakaenda CHADEMA wakashinda, una uhakika gani hao walienda CHADEMA kufata Demokrasia au walimfata Lowassa..??

Pia kuna waliokatwa CCM wakaenda CHADEMA na wakashindwa pia..unawacategory vipi na hao??

Usianzishe uzi tu ili kabla ya kulala usiku ufanye hesabu ni ngapi umeanzisha siku ya leo for invoicing kesho pale kwa cashier wenu Lumumba kwa malipo..weka facts hapa ili uwe umepokea malipo HARAMU SANA but content wise thread zina sense.
 
Hivi kwani upinzani wana mpango wa kugombea? Wamuache tu jembe apite bila kupingwa.
 
Ikumbukwe kuwa wagombea wengi wa ubunge wa Chadema katika majimbo mwaka 2015 ni wale waliotoka CCM baada ya kushindwa kura za maoni na kumfuata Lowassa pale Ufipa.

Mwaka huu fursa hiyo haitakuwepo na hivyo Chadema inategemewa kuwa na wagombea ubunge wachache sana watakaotokea maeneo ya mijini tu.

Maendeleo hayana vyama
Ushauri wako no Nini sasa?
 
Stability ndani ya CCM ni hasara kwa upinzani 2020, badala yake instability ndani ya CCM wakati wa kura ya maoni ni mtaji kwa upinzani nchini.

Wait and see
 
Back
Top Bottom