CHADEMA itarajie Anguko Kuu uchaguzi Mdogo wa Madiwani

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Kwa hali ya kutokuwa na Dira wala Mwelekeo kwa Chama kilichokuwa kinatetemesha Nchi huko nyuma wakati wa Dr Slaa (CHADEMA), ni dhahiri kuwa kitarajie anguko kubwa sana Uchaguzi Mdogo wa Madiwani 2017.

Mahali ambako kinaweza kuambulia Viti vichache ni Arusha na Moshi tu nako siyo kwa sababu ya Sera nzuri za Chama hicho bali ni kwa sababu ya Ukabila na Ukanda uliokithiri katika Chama hicho kinachotia huruma hivi sasa.

Arusha na Moshi hawachagui Sera nzuri bali ukabila na ukanda tu ndio maana Arusha Mjini wameweza kumchagua Mbunge asiyeweza kuongoza hata Mtaa.

Muda unakaribia. Tusubiri anguko kuu la CHADEMA baada ya UKAWA kuwa UKIWA.
 
Wewe ni mchochezi
 
unaweza kujieleza kwa barua kwanini usikamatwe na jeshi la polisi hata kama na wao ni tawi la ccm,kwa uchochezi
 
Ninaombea wapoteze vingi sana hadi wasage meno na waaishinde vipya popote.

Wanaboa hawana jipya kuonyesha upinzani ulionoga.. viwewe tu.. matumbo mbele kwanza.

Na sasa wamepiga pesa za mgonjwa wapo kimyam. Ngoja ziishe mtawasikia..
 
Back
Top Bottom